LAST GENEUS

LAST GENEUS

Share

Mziki ni Hisia.

27/01/2026

🔥Hustle & Progress
-“Still building. Still hungry. Still focused.”
-“From lessons to levels.”
-“Quiet grind, loud results.”
-“No rush—timing is on my side.”
-“Started with faith, ending with facts.”

25/12/2025

Kheri ya sikukuu ya Christmas,nawatakia siku hii ikawe njema na yakupendeza. Tuzidi kuomba ili M/MUNGU akazidi kutupigania na kutubariki.

25/04/2025

Hii kazi ipo YouTube ili kuiskiliza bofya link hapo chini.
https://youtu.be/lMDXsNoiCq8?si=3AQrSEJRKqS3vWUD



Last Geneus Jakaozya Jaka Reason

26/09/2024

Napenda kuwashukuru nyote mnao+support movement pamoja na kazi zangu. New follower pamoja na wote wanaotenga muda kwa ajili ya kupitia page yangu nakujua updates zilizopo. Naomba support yenu fans isiishie hapa,karibuni tuzidi kupeana support. MUNGU awabariki.

23/09/2024

Watu wangu Pokea Ngoma Mpya, Bado ni ya moto sana tukutane kwenye comment Hip Hop Community Michano YA Hiphop
Link:https:https://djmwanga.com/2024/09/last-genius-ft-kijogoko-x-single-button-jah-anables.html

11/09/2024

Ni muda wakusikiliza Ngoma Kali kutoka library.
Natumai Ngoma hii itakupa flavor unayotaka.
Kuskiliza bofya link hapo chini.
https://djmwanga.com/2024/09/last-genius-ft-kijogoko-x-single-button-jah-anables.html

28/02/2024

Respect People who support your dream.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha Chini?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Arusha Chini