TBCArusha
TBC Arusha 92.1MHz FM owned by @tbc_online
OUR LIVE STREAM LINKS
tbcarusha921.radiostream321.com
tbcarusha921.radiostream12345.com
tbcarusha921.radiostream123.com
30/05/2026
UCL FINAL!
PSG Vs Arsenal tupe ubashiri wako tutausoma ndani ya
Home Boy yupo hapa Tune 92.1 FM đź“»
Wasanii waongeze juhudi kwenye Promotion-
Host:
29/05/2026
Unaisikiliza kutoka wapi?
Home Boy yupo hapa Tune in 92.1 FM
Mzee wa Subaru ft ndani ya new wave!
Host:
WASANII WA SINGELI MNA UJUMBE WENU KUTOKA KWA-
Host:
Vibes za viongozi wa kesho zipo hapa “Tunavunja vikwazo tunajenga kesho yetu”
Kujifunza, Ku-connect na Ku-level up huku kumewaka ✨
Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana Joel Nanauka amesema serikali imejizatiti kuendelea kushirikiana na nchi mbalimbali barani Afrika katika kuimarisha mifumo ya kiteknolojia ili kunufaika kiuchumi.
Ameyasema hayo katika kongamano la Tisa la YouLead Summit ambalo limefanyika MS TCDC mkoani Arusha akiwahimiza vijana kushiriki fursa zilizopo kupitia miradi na programu mbalimbali za kiserikali ikiwemo jukwaa la “Vijana Platform” lenye lengo la kuongeza ujuzi ili kukuza uchumi jumuishi.
Unaamini katika urafiki wa mwanaume na mwanamke? -
Host: &
Vibe Check na Michano kwenye na mwenetu unampa maksi ngapi?
Host: X
Wajawazito nchini wametakiwa kuacha utaratibu wa kujifungulia majumbani hususani maeneo ya vijijini kwa kutumia watu wasio na taaluma baadala yake waende kwenye vituo vya afya na hospitali ili kuendelea kupunguza idadi ya vifo vya mama na mtoto.
Â
Aidha ,Katibu Tawala Wilaya ya Arusha Dkt. Jacob Rombo, amesema serik kuboresha miundo ya afya ,vifaa tiba  pamojanna kuingeza wataalamu wa afya ili kukidhi mahitaji ya wananchi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Arusha Chini