Aleki

Aleki

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Aleki, Grocers, Aleki25@gmail. com, Nairobi.

16/04/2026

Ni wangami wanapanga kufunga ndoa lakini ikashindikana?

Je ni kwa sababu gani?

15/04/2026

Abagore bazar ubwambere, abagabo, abana, abenshi bagomba kwigana ivyo babona mungo za bagenzi baba ariko ntabwo arivyiza kuko uhura uriko urasambura urwawe.
Ntarugo gubakira urundi.

09/02/2026

Mshukulu Mungu kwa kuona hiyi asubuhi ya leo tarehe09/02

01/02/2026

Father tulikua tumekumiss sana lakini Mungu akakupenda zaidi neenda salama hatutakusahau. Mutuombee nasi.

01/02/2026

hiyi tarée moja jumapiri wewe umefanikiwe kuyiona mshukulu Mungu na usisahau kwenda kanisani.

22/01/2026

usiku mwema nyinyi watu wa Mungu. mulibarikiwa.

21/01/2026

Najua Mungu ameusaidia sana wewe unasoma hiyi msg na kwake hakuna kitu ngumu ama musito juu unadhania niwewe umeshika kumbe ni yeye anakubebea.

k**a unaamini Mwambie asante Mungu.

21/01/2026

Uamini au usiamini, Mungu ni Mwema kila wakati. kufika terehe hiyi ni kwa neema yake.

Eeeh Mungu tunajua sisi ni wakosefu mbere yako laki kwa upendo wako unatujalia sisi wote. tunakuomba utuongoze tutoke ka dambi za duniani na utuondoree jina ya kuitwa umaskini. kwa uwezo wako tunajua kila kitu itakua sawa

Kwa Jina la Bwana Wetu YESU Kristo AMINA.

k**a unaamini sema AMINA.

20/01/2026

heshimu mtu yeyote usimudarau et ni maskini juu hujafanya cocote ndio afike siku ya leo.
kwanza yeye mungu amembariki sana akienda kulala anapata usingizi mzuri kuliko wale matajiri wanalala wakipangia Mali zao.
kwanza wanatamani na Mali za wenzake juu ya wivu. so shida kwa hawo matajiri ni mingi sana.

Je, wewe ambaye umesoma hiyi msg unafanya hivo au unafanyiwa??
k**a unafanya achana na roho mbaya.
k**a unafanyiwa usikate tamaa Mungu ni Mungu tu enderea kmuomba na anaskia kirio cha wanyonge.

20/01/2026
Want your business to be the top-listed Grocery Store in Nairobi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Aleki25@gmail. Com
Nairobi