MTC
AIC Mwanza Town choir ni kwaya yenye makaxi yake Mwanza Tanzania katika kaniss kuu la AICT Makongoro
18/03/2019
Wakiwa ktka moja ya ibada kanisani Makongoro
04/03/2019
Picha hii tuliipiga na Mch Bugota huko Igombe siku mbili baada ya kuchaguluwa kuwa Askofu.
02/03/2019
AIC Mwanza Town Choir picha ya pamoja na mdau wa siku nyingi Daniel Njuguna walipoalikwa na kanisa moja hapo Kariakoo Nbi 2014
18/02/2019
Hapa MTC na wageni wetu kutoka Bomet Kenya
06/02/2019
Kauli mbiu yetu ni mafanikio yako katika muda
17/12/2018
AIC Mwanza Town katika picha ya pamoja baada ya huduma Makongoro Mwanza 2018
14/12/2018
Hapa ilikuwa mwaka 1988 Mwanza town choir wakiimba Kabarak kwa Rais Mstaafu wa Kenya Mtukufu Daniel Moi
10/12/2018
Kuanzia mwaka kesho 2019 matoleo yetu yote yataanza kupatikana utaweza kuagiza moja kwa moja toka kwa MTC wenyewe. Ambayo ni NJONI TUMWIMBIE, UTAVUNA NA MUNGU KWETU KIMBILIO haya ni ya video. Na mengine mengi ya audio ya zamni na mapya
10/12/2018
Mwanza Town Choir safarini Nyahururu Kenya wakati wa pasaka April 2018
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Telephone
Website
Address
Makongoro
Nairobi
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |