Stuka
life of stuka masumbuko ya nduku stuka
04/09/2025
30/08/2025
Kumbe hakunako haha ya pipi.😂
04/02/2024
Nikikuako khatoto nilikua naonako wamama wanasaa rutoto 🤱siku isi naonako rutoto runazaa rutoto🤰 nini ikoko mbaya🤷...
13/04/2021
Tissue silitengenesewa rusichana,, lakini ndume kamili anatumiako makaseti mabokisi, na rumufuko rwa simiti..
05/06/2020
Ukianzako kuishi peke ako kukula inaesa kukuwako saa eyote kulingana na njaa yako.. 😋
Leo Nimepikako pizza na kuku nitaamukako midnight nikuleko lunch ya usiku ..🍚🥗
04/05/2020
Nani atashoneako Pawpaws of me mask isikueko positive kaa ya makofuli
09/02/2020
Wacha kupigiako ma picha kwa cars 🚐and houses 🏛️of others,, watu yenyu ya ushako watakurogako tu bure wakifikiriako you has made it on life.🤒
28/01/2020
Sioko rusichana yote ikoko na macho kupwa is beautiful,, wengine walizaliwa k**a wakoko shocked🙄
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Nairobi