Dunga Poa Collection
FASHION BRAND
-¶Celebrity Fashion Stylist
-¶Costume Designer.
-¶Fashion Consultant.
-¶For Booking WhatsApp 0792406632 OR MAIL dungapoacollection@gmail
18/02/2026
Black is for us all.
Your wardrobe malfunctions when you have none.
Get yourself more today.
0792 406632 call/App
Sisi hao..customer lazima atese 😍👌
Usingojee Pesa ijae..tuma hiyo deposit kazi tuanze.
09/02/2026
Tumeanza Monday na hii
See next Post for custome video.
29/01/2026
Unaprefer color gani?
29/01/2026
Leo ni Royalty tu tukimaliza January
17/01/2026
Tunazidi kuwadungisha.
Mambo mazuri 2026.
Tuamulie kwa ruracio na wedding..au io event yako kali.
Bei ni affordable.
17/01/2026
Leo n i mremboi Chemtai ,huyu ni Niece wetu sote🤩😆,
Hivi ndio ameanza January.
Si anakaa poa?
Usisahau kusuprise kale katoi we hupenda na nguo zetu😍
15/01/2026
Hizi ni Simple lakini tamu.
Wewe ungeprefer color gani?
14/01/2026
Hamshoneshi nguo January kwa nini?
Msituweke njaa aki😅😅
01/01/2026
Happy new year from the great servants of God "THE MUSUMBAS" watamuke baraka hii mwaka tung'arishe The Kings and Queens of this land tukisonga😁🫠
Musumba Armstrong and Queen Armstrong Musumba Asanteni sana kwa kutuaminia,we wish you all the best in life.
26/12/2025
Naona kuna 3D zinatrend sana.
Hizi zetu mnaonaje?
25/12/2025
Merry krisi.
Hopefully umenunuliwa k**a hii😅🥳
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Embakasi
Nairobi
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 18:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:30 - 17:00 |
| Thursday | 08:30 - 17:00 |
| Friday | 08:30 - 18:00 |
| Saturday | 08:30 - 16:00 |