TYTO
FULL LIFE IN JESUS MINISTRY
07/09/2025
Biblia. Yakobo 2:18-19
[18]Lakini mtu atasema, Wewe unayo imani, nami ninayo matendo. Nionyeshe imani yako pasipo matendo, nami nitakuonyesha imani yangu kwa njia ya matendo yangu.
[19]Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.
25/08/2025
Biblia. Nahumu 3:4-7
[4]Kwa sababu ya wingi wa ukahaba wa yule kahaba mzuri, yule bibi wa mambo ya uchawi, auzaye mataifa kwa ukahaba wake, na jamaa za watu kwa uchawi wake.
[5]Tazama, mimi ni juu yako, asema BWANA wa majeshi; nami nitafunua marinda yako mbele ya uso wako; nami nitawaonyesha mataifa uchi wako, na falme aibu yako.
[6]Nami nitatupa uchafu uchukizao juu yako, kukufanya uwe mchafu, nami nitakufanya kuwa kitu cha kutazamwa kwa dharau.
[7]Hata itakuwa, wote wakutazamao watakukimbia, wakisema, Ninawi umeharibika; ni nani atakayeuhurumia? Nikutafutie wapi wafariji?
30/11/2024
Hellow guys nina swali
28/10/2024
Umewahi jiuliza kuwa Jina Lake lina managed ipi ama bora uishi brothers and sisters be very carefully with your Name read (1st corinthians 4:9-10)
03/06/2024
Naskianga tu kumbe ni utu tuvitu
Na imagine nimetupanda kwangu
K**a ya kukinga boma 🤣🤣🤣
Oooh! My Goodness
22/05/2024
Back to the industry 🫣🫣🫣🫣
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Ngara
Nairobi
00200