Innos Mitindo
■ Artist
■ Songwriter
■ CSM wazito
#rockcitymaterial BIO
Kenyan Citizen Born in june 19th at Kilifi District Hospital. EDUCATION. Teresas secondary School.
Raised in Kilifi county kiwandani and Chasimba village, Chonyi. I started my Primary Education in Kibaoni Primary School and I graduated my primary level at kolongoni primary school. Later i joined Dr. Kraph for the high school education level and and later joined St. CAREER
SINGER at Rockcity003, Main Artist In CSMwazito, Performing Artist 🥇 Entrepreneur. Business man.
Wataweza kweli -boy
yanaurembo kibao 🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣
08/06/2026
Baila-Boy Me skufichi Yajayo ni mazishiii Haswaaaa maana Bi Mkubwa, ameingiza uoga niliwafunika 💯💯🦅
Your boys tuko ndani ya jengo, Njooni sun 'N' shine sherehe ziko hukuuu 🦅🦅🦅🦅🦅🦅💪
06/06/2026
Yoow, wajuba Mida ishaivana
bado wewe 🦅🦅🦅
06/06/2026
siku ni leo wajanja Na form ni ile ile Location ni pale pale Msumarini tupatane masaa zake Tule sheshe mpaka cheee
04/06/2026
Tuko pamoja kufikia hapaa..!?
Rada ni 66 sisi tutakuwepo pale 'N' Shine Msumarini Je wewe utakuwa nasi,
Come support Local Talents. Tell a friend to tell a friend. Bango lishajieleza
Innos Mitindo
Baila-Boy
Sanga Mlatino
02/06/2026
Oooe Wanangu Tarehe ni 6/6
Twendzetuni pale Msumarini. Sun N Shine Tukale buridaniii Tupo na Ma dejay na Ma Mcee wa Nguvu.
alafu CSM wazito Tutakuwepo live.
Innos Mitindo
Baila-Boy
01/06/2026
6/06/2026 Wanetu Tupatane Huku Msumarini Tuliamshe pamoja. Sema Tuna Mark Register Kwa Comment Section.
Sisi Tutakua Na Wewe, Je !? Wewe Utakua Na Sisi?
CSM wazito
Baila-Boy
Innos Mitindo
Itakua Zaidi Ya 🔥🔥🔥🔥🔥
31/05/2026
Wakati mwingine
mapenzi yakiumiza moyo unakosa amani na dunia nzima inaonekana kusimama.
''Siko Sawa'' Ni wimbo unaozungumzia maumivu ya ndani, kutokuelewana, na hisia za mpweke baada ya safari ya mahaba kuingia dosari.💔
CSM Wazito Tulikuandalia kazi hii ya kipekee ikiwa ni kielelezo cha hisia za wengi wanaopitia magumu kwenye mahusiano.
Kupitia mdundo huu Uliona afya na usiochosha maskio na maneno yenye uzito, tunajikumbusha kuwa ni sawa kutokuwa sawa wakati mwingine.
Karibu ukasikilize, kile ulichotamani kukiskia maskioni mwako 🙏🙏🙏
https://youtu.be/HjOwY0i8sKM?si=_7xjf2i7d2ha7c8R
Artist: CSM wazito
🎹 Audio Producer: Fine Dose
🎬 Video Director: Sanga Mlatino
✍️ Written by: Innos Mitindo and Baila-Boy
31/05/2026
Dunia imetulia hakuna kelele kabisa. Anyways good Morning gurners.
Picha / hisani
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Address
Bamburi
Mombasa
80100