Deep Trace
Find peace with men...🤲🏻
Free moral class..........✍🏻
08/10/2025
Big thanks to Zandile Machele Mthiyane, Lexvanny Sc
for all of your support! Congrats for being top fans on a streak 🔥!
06/06/2025
Here is some important information on protecting the young girls in our communities. We must all work together to and away from predators. The consequences are devastating and the law is clear. It's our collective responsibility to .
Let's be vigilant and .
28/04/2025
Mwanamke ni nani?
1.Mwanamke ni binadamu mwenye anafunguliwa biashara ya kuuza mboga na mumewe halafu k**a mume amekosa pesa aambiwe mke chukua mboga tupike anakasirika na kusema mumewe atamfilisisha biashara yake anasahau kua alipewa hyo biashara ndio mume akikosa aweze kumsaidia na ukumbuke pia yeye atakula pamoja na watoto 🤣🤣
2.Mwanamke ni binadamu mwenye anaomba mumewe pesa ya kusongwa ila mume amekosa anamwambia k**a uko nayo tumia halafu nitakurudushia anaanza kumdai Kila siku akisema angejua hangemkopesha na anasahau alijirembesha yeye 🤣🤣
3.Mwanamke ni binadamu mwenye mumewe amekosa pesa ya kulipia watoto fees so anaambia mkewe lipia watoto fees ndio wafanye mtihani na analipa lkn itakua vita kwa nyumba akidai mumewe amlipe pesa yake na anasahau wenye amelipia pia yeye ni watoto wake 🤣🤣
4.Mwanamke ni binadamu mwenye mume anamkopa 2k halafu mwisho wa mwezi mume anampea 5k lkn vile hakusema nimelipa deni then mume atadaiwa Kila siku 🤣🤣🤣
5.Mwanamke ni binadamu mwenye mumewe akihitaji tendo la ndoa anampea ratiba na sababu nyingi mara nimechoka mara sijiskii vizuri mwishowe anasema yeye sio chagudoa afanywe Kila siku akitaka aende atafute changudoa ndipo mume akienda anaanza kulia na kusema umekosa Nini kwangu ni kipi sijakufanyia anasahau alikua anamnyima 🤣🤣
6.Mwanamke ni binadamu mwenye mumewe amekua akimhudumia wakati Ako kazini na KAZI ikikatika anaanza kulalamika na kuambia mumewe amekua akimtesa anasahau mume Hana uwezo kwa sai 🤣🤣
7.mwanamke ni binadamu mwenye hataki mavyaa na ndugu za mume waishi kwake but ndugu zake na mama yake anawaita waishi na wao 😅😅😅
Mwanamke ni kiumbe ajabu sana
sio watu wazuri
27/04/2025
Pope Francis in his Coffin at the Vatican a Close Up Photo - 💔 💔.
30/03/2025
Ati mlisema haka kamfuko kanaitwaje na ni ka kazi gani?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mombasa