MPS
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MPS, Musician/Band, Mombasa.
12/12/2025
NAIPENDA SANA INCHI YANGU. NA SITOKOMA KUIPENDA TANZANIA NA RAHISI WANGU.......
WASANII WOTE WA TANZANIA WANAHAKI YA KUPENDA NA KUFANYA CHOCHOTE HARALI COZY WANAHAKI K**A WATU WENGINE UKIWACHUKIA WEWE NA CHUKI ZAKO NI WEWE. WATAPENDWA NA WANA WAPENZI WANGINE SIO LAZIMA UPENDO WAKO COZ WATAISHI WATAKULA WATAFANYA SHOW POPOTE PALE BILA MAPENZI YAKO, COZY WEWE SIO MUNGU...... I BELIEVE IN GODY....
Fikili kabla ya kutenda. Japo Audui MKUBWA wa taifa langu NI uzalendo na amani.... Ila tumeweza kuishi maisha Madhuri KWA muda mrefu Sana atimae Leo NI tarehe 6/12/25. So kwanini usijague Amani na upambane na vita yako ya Ujinga maradhi na umasikini...Kuliko kujiongezea vita ambayo atutoweza kuishinda kamwe mpaka mwisho WA dunia. So ungekataa kuwapa majorani na watu wengine faida.....??? NI mtazamo wangu Tu maana Mimi maisha yangu ni madhuri zitazetu niziona tu kwenye mitandao, raha ya vita kuisikia kwa mwenzako.....
Ooh 😮😲, Kumbe leo ilikua it's my birthday.. So wacha nimalizie KWA kuwaenzi wanangu Enzi izo... WEST SHAKE. GRAYSON. B,BOY SAM. MART THE DONE. ALI BODA. SULTAN. NA WENGINE K**A WAKU SHINE. PAPAMBAMA FASAHA. WEST BROWN. TON SHAKE. NK... CHAKALE DHAHABU
18/05/2024
Nimenukuu kutoka kwa my boss sweetminerals.. wapo kwenye kikao usiku huuuu..
NOW TUPO KWENYE KIKAO TUNAJADIRI NA TUNABISHANA HAPA. WATU SABA TUMESEMA TUANZE KUACHIA VIDEO YA TE QUIERO NA AUDIO YA HII NGOMA MY NUMBER ONE AMBAYO KILA MWAKA TUNAPANGA KUITOA INASHINDIKANA. NA WATU WANNE NA WAMAANA SANA WANAPINGA WANASEMA TUANZE KUITOA MY NUMBER ONE IENDE THEN BAADAE TUNAACHIA VIDEO MBILI KWA MPIGO...... ILA LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA USIKU HUUUUUUU..
14/05/2024
Loading........................
03/05/2024
UNA DESERVE MDOGOANGU HATA IKITOKEA BAHATI MBAYA UJACHUKUA..ILA WEWE NI THE BEST.. PIA NIMEFURAHI SANA KWA KUJITAMBUA NIMEPENDA ULICHOKIZUNGUMZA MPAKA SASA KAULIYAKO IMEKUWA GUMZO. NIMUDA MREFU NILIKUWA NASUBILIA UONGEE HII KAULI.. WEWE NI MKALI SIO TUU EAST AFRICA, BARI AFRICA NZIMA KASORO SOUTH AFRICA PALIPO BAKIA WEWE NI NUMBER ONE....
19/04/2024
Boss kasema iviiiÃiiiii now available Audiomack..
Bonyeza link hapo chini itakupeleka moja kwa moja
://audiomack.com/sweetminerals12/song/te-quiero
15/04/2024
MAMBO NI GANI MAZEEEEEEEEEE.. WAGENGE HABARIZENYU BHANAAAAAA... BOSS WANGU SWEET MINERALS ANAWALETEA KITU AMAZING HIVI PUNDEEEEEEEEEEE
28/02/2024
26/02/2024
HUYU NDO EVANS SHAKUL MTUNZI NA MUANDAAJI WA STORY YETU CHOZI LA URITHI... CHAKUFANYA NENDA YOUTUBE ANDIKA CHOZI LA URITHI EVANS SHAKUL. AU NENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MPALISTAR TV CHANNEL UTAIKUTA..
24/02/2024
UTOPOLO POPOTE MLIPO K**A NILISHAWAI KUWAKOSEA KIVYOVYOTE VILE BHASI MUNISAMEHE MAANA AIKUWA AKILI ZANGU ILA NI POMBE... ONGERENI SANA. HII NI KITAARAM ZAHIDI.. #😀😀😀 HAHAHAHA
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mombasa