RAJAB Rashid

RAJAB Rashid

Share

A journalist, a writer and poet and currently a news editor at Nuru digital media and Nuru radio

06/12/2025

I've just reached 500 followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each and every one of you. 🙏🤗🎉

01/07/2025

Kumekucha nikukumbushe tuu... Maisha huisha... Ishi vyema na watu...

14/05/2025

Nottingham Forest inafuatilia James McAtee wa Manchester City na Liam Delap wa Ipswich. Nottingham Forest inapanga kufanya usajili wa wachezaji watano katika dirisha la usajili la majira ya joto, huku Delap na McAtee wakiorodheshwa juu katika orodha.

08/05/2025

SIKIKA

Serikali imepanga kuondoa maeneo 44 nchini yaliyoorodheshwa na tume ya kuwaajiri walimu -TSC ,katika orodha ya sehemu zenye mazingira magumu ya kufanya kazi.
Je unaunga mkono kuondolewa kwa marupurupu ya walimu wanaohudumu kwenye maeneo hayo magumu.

Longa nami upate kusikika
Tuma sauti ya maoni yako kupitia WhatsApp upate kusikika....

Want your business to be the top-listed Media Company in Mombasa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Malindi
Mombasa