YOUTH POWER RADIO
We are a community Youth Online Radio Amplifying the Youth Voice in Kenya
11/06/2026
Waziri wa Fedha John Mbadi akiwasili katika makao makuu ya Hazina ya Kitaifa jijini Nairobi kabla ya kuelekea Bungeni kuwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2026/2027.
Stay tune: zeno.fm/radio/youthpower
11/06/2026
a TBT Ngoma moto na music stories za kizazi cha kale na wakali wazi na ((1-4pm))
Je, nidhamu shuleni zamani ilikuwa bora kuliko ilivyo leo?
Tuvibe kupitia: zeno.fm/radio/youthpower
Sms/call no: +254 795 909873
11/06/2026
Show hewani ukiwa nae Presenter Læßânoñ akiwa nae Coachez Unai mjengoni it's a
Je, ni sawa jina la mtoto kubadilishwa k**a mzazi wake hamshughulikii ama alimtekeleza?
Skiza:zeno.fm/radio/youthpower
11/06/2026
Update
Skiza:zeno.fm/radio/youthpower
11/06/2026
Waziri wa Fedha John Mbadi anapotarajiwa kusoma bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 leo, ni sekta gani unaamini inastahili kufanyiwa marekebisho zaidi ili kuboresha maisha ya Wakenya?
Tune in now: zeno.fm/radio/youthpower on your favorite breakfast show with your top master Coachez Unai ((7:00-10:00AM))
10/06/2026
Ni kitu gani ukipendacho katika utunzi wa nyimbo
Show ni ukiwa nao De Scorpions na
Skiza:zenod.m/radio/youthpower
09/06/2026
True vibez ndani ya ukiwa nae Presenter Læßânoñ
Unaskiza kipindi ukiwa wapi, shout-out zimwende Nani?
Skiza:zeno.fm/radio/youthpower
09/06/2026
Are Parents and Children Communicating Enough?
Show hewani ukiwa nae Lisa
Skiza:zeno.fm/radio/youthpower
What happened on the weekend on football game updates with unai
Skiza:zeno.fm/radio/youthpower
08/06/2026
Vibes! Wiki mpya, nguvu mpya na muziki moto kwenye iko on 🔥 na (((1:00-4:00PM))
Kati ya Nidhamu, Juhudi na Bahati, ni kipi kina mchango mkubwa zaidi katika kufanikisha ndoto na malengo ya maisha?
Tune in now and enjoy: zeno.fm/radio/youthpower
SMS/Call no: 0795909873
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mikindani
Mombasa