Merucartracks
Car track,alarm,music system installation and general car wiring in meru
01/07/2026
Naomba neema ya Mungu initangulie katika kila hatua ya maisha yangu. Kila mlango uliokuwa umefungwa na ufunguliwe, kila kikwazo kiondolewe, na kila mpango mwema wa Mungu utimie juu yangu
Leo, ninatamka kwa imani:
Nitakutana na kibali badala ya vikwazo, ushindi badala ya kushindwa, na furaha badala ya huzuni. Mungu nibariki kwa afya njema, amani, hekima, na mafanikio katika kila jambo ninalolifanya.
Hakuna silaha itakayofanikiwa dhidi yangu maana damu ya Yesu ni ulinzi wangu na ushindi wangu AMEN AMEN π
28/02/2026
Bado meru tuko kazi we istalll cartrack alarm radio CCTV system and etc call π now my friend
14/02/2026
Happy valentine day to everyone π π
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Meru
Meru