Ex wa Mathare
To contribute to the society by provision of accessible and in innovative quality services😜😜
SWEET NURSE🍑🍆💦
Episode 1🔞
Kuna hii black Monday nliingia mjei kaa kawaida. Kumbe leo shetani nkaa alikuaga ameekelea Foreman over 3.5. After tumemaliza ku apload lorry ya mawe tukaishia lunch. Venye saa tulirundi site ilikuaga sasa tumebakisha kutoa ile neti huaga imefunika huko inje nyumba ikijengwa ndio raia wasione tukiteseka😂. Ilikuaga saa kumi na nusu so tulikuaga tutoa hiyo neti saa kumi na mmoja ifike tunge site. Huko mimi ndio nlikuaga nmeamini kuingia na kufanya ile kazi risky risky. Nlianza kutamba na hiyo neti pole pole k**a spider man niishia nitoanishe place ilikuaga imekwama ndio na wao akina omondi na mwangi waivurute huko chini tumalize kazi. Nkiwa karibu kufika ile place imekwama sijui leo mwangi alikuaga amevuta bhangi ya wapi. Nliskia amevuruta kineti once me ata sikuwa nmejishikilia vizuri nkazungusha mara moja k**a nmetupwa huko kando. Na nlikuaga 14th floor nlianza kishuka k**a superman huko juu ya hewa k**a bado na pelekwa na upepo. Watu huko kwa estate walikuaga wanaskia nduru nka malaika wanashuka. Na bado nlikua nmevaa jacket ingine hapo huniokolea nkibemba mawe nvenye huaga imekauka na venye ilikuaga inaingiza upepo inafura. Ata kaa ilikuaga inapunguza velocity ya kufall nlikuaga naskia ikininyonga kwa shingo. Ungedhani nmetoka kwa helicopter juu hiyo jacket ilikuaga imefura ilikuaga k**a parachute. After kuzungushwa na upepo nliangukia kijiko ya mchanga ilikuaga imeekelewa juu ya mawe na hiyo kijiko nayo nkaa ilikuaga inajua leo lazima itanisalimia. Kitu ilinigonga chuma🍆 nkaskia nk**a balls nazo zimeingia kwa tumbo. Hapo hapo nkafaint. Nlikua naskia foreman akiuliza huyu na yeye hushuka hivo ama ni time amefika. Hawa watu wa mjengo nkaa huvuta sigara na maskio. Juu wanipee maji waone kaa ntajiskia nlikua naskia walinieka uji moto🍵 kwa mdomo by force while wengine wakisema wao huanguka hivo na hawajai faint saa labda huyu ni njaa ako nayo.
Episode 2 loading
Follow my page usipitwe na hii story wakuu🙏🙏
12/08/2023
Beef yangu na madem washai ninyima 🍑💦haitawai isha 👍👍
💔
04/08/2023
04/08/2023
Dem anakuja sleep over kila siku unadhani Ni mapenzi kumbe ni Njaa 😂😂😂.... 😊
Kë VKë VõKë Võ
APPLY NOW ..
HUSBAND APPLICATION FORM
Full names:_____________________________
Surname:_______________________________
ID No:__________________________________
Age:___________________________________
Residential Address:____________________
Profession:____________________________
Height:________________________________
Good contact :_________________________
Favorite verse:_________________________
Signature from your ex: _________________
Your ex contact:____________________________
In 150 words explain why you want to be my wife ___________________________________________________________________________________________________________
______________________________________________________
DECLARATION:
I________________ hereby swear that I'll never cheat on you. I'll remain loyal,respectful, caring, and honest to you till Death Do Us part. I also promise to unfriend my male besties and friends too.
Sworn on_______day of_____2023
Applicant Signature:___________________
Parents Signatures:____________________
_______________________________________
Witness Signature 1:_______________________
Witness Signature 2:_______________________
Rev Signature:_____________________________
Nyumba kumi Signature:___________________
APPLICATION FORM MUST BE ACCOMPANIED BY AFFIDAVIT AND Ksh200 JOINING FEE MUST BE ATTACHED
CLOSING DATE: 20TH DEC 2023
Application starts now.good luck my love ❤️
Kë Võ
Can you solve this?
🐉+🐉+🐉=60
🐪+🐪+🐪=15
🐦+🐦+🐦=9
🐉+🐪×🐦=?
17/07/2023
Always busy...
16/07/2023
Kuna tudem tuslim alaf tuko na tuhips kiasi 🤔 mubarikiwe💦🍑🍆😋
The value of a college education is not the learning of many facts but the training of the mind to think
**Naenda zangu Shakahola*
Malenga ninalo lengo, kuingia Shakahola,
nachapisha hili tungo, nikipanda daladala,
mengi yanikula bongo, heri kule Shakahola,
Nipelekwe Shakahola, niko tayari kufunga.
Niliko ni k**a jela, ila bila askari,
nipate wapi chakula , vyote ni vya matajiri,
Zilienda zote hela , nipate wapi sukari,
Nipelekwe Shakahola, niko tayari kufunga.
Nikifanya kibarua , wanisuburi ushuru, wakubwa wakiamua, kabwela sina uhuru,
vipi nitajikwamua , sina wa kuninusuru,
Nipelekwe Shakahola, niko tayari kufunga.
Mafuta yakwea bei, sukari sisemi yake,
unga mia na ushei, ugali vipi nipike,
mwananchi sina sei, bora kule nikafike,
nipelekwe Shakahola, niko tayari kufunga.
Ninangu ni mkufunzi, ashakatwa za majumba,
Dada zangu wanafunzi, ya karo imewakumba,
ajue wangu mpenzi, kaenda wake mchumba,
nipelekwe Shakahola niko tayari kufunga.
Hino ndiyo ya vijana, pia hawa mama mboga,
bodaboda wamenona, mie meno nikisaga,
tajiri wamenikana ,hahe wamenigeuka,
nipelekwe Shakahola, niko tayari kufunga.
Magari hayasafiri, mafuta yakata tumbo,
sihitaji ushauri, yamenichosha makombo,
waje kule mawaziri , yameshachemka mambo,
nipelekwe Shakahola, niko tayari kufunga.
Wakikuja makachero, kwanza waunguze unga,
Kindiki pia Kidero, jueni mie nafunga,
Ababu na Ndindi Nyoro, mengi huko tutalonga,
nipelekwe Shakahola, niko tayari kufunga.
Hizo ndo zangu sababu, msilaumu Makenzi,
Naenda bila aibu, msiwatume walinzi,
Rais naye naibu , lisiwapeni majonzi,
nipelekwe Shakahola niko tayari kufunga* .
Unaamka kujituma alafu jioni unarudi ukiwa mlevi🍻😂
Unachezwa lakini ile mapenzi unapewa hauezi shuku mko wengi😂😂JeJeff wa piliaJeff wa piliiJeff wa pili
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Maragwa