PUT ALL inside

PUT ALL inside

Share

0794041485( meiyu)watshap no.
.Follow me on TikTok @beautifulstone7

21/01/2026

hello friends🥰🥰

Photos from PUT ALL inside's post 10/09/2025

TANZANIA 🇹🇿- Kiongozi wa upinzani Tundu Lissu yupo gerezani kwa tuhuma za uhaini. Kwa hivyo Rais Samia atakuwa kwa uchaguzi peke yake.
2. UGANDA 🇺🇬- Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye yupo gerezani kwa tuhuma za uhaini na kimiliki silaha kinyume na sheria. Kwa hivyo Museveni atakuwa kwenye debe peke yake bila mpinzani.
3. RWANDA 🇷🇼 - Kiongozi wa upinzani Victoire Ingabire yupo gerezani kwa tuhuma za uchochezi.
4. BURUNDI 🇧🇮- Kiongozi wa upinzani Agatha Rwasa ameshapewa onyo asionekane akifanya siasa hadhalani. Na akipatikana apigwe risasi. Anaishi Kenya kwa kihofia maisha yake. 5. 5. SOUTH SUDAN 🇸🇸- Kiongozi wa upinzani ambaye pia ni makamu wa rais Riek Machar gerezani kwa tuhuma za uchochezi.
7. KENYA 🇰🇪- Kiongozi wa upinzani Raila Odinga analipwa na serikali, anatumia magari ya serikali, ndege za polisi na wanajeshi, na kila kitu anapewa na serikali ndio atulie asiwe msumbufu na aache kuikomoa serikali.
Kenya ndio nchi ina democrasia zaidi bara la africa

16/03/2025

Name: Lương Cường
Position: President
Country: Vietnam
Contact: (813) 3466 3311
Case : In charge of Nduta's death penalty.

Over to the Gen Z self proclaimed activists

Tumeni salamu😂

16/03/2025

A very disturbing story.
May God rescue her aki..
President RUTO should make a call 😭but because he likes_____ too much ,he will enjoy watching her ______😭😭😭
You can fill the gaps sitaki kua aducted

02/03/2025

Follow my new page for more fun
Just search
👇👇👇
Aitoxi

02/03/2025

🤓🤓Karibia, karibia
Customer upate laini ya AIRTEL Kisha tunakuzawadi Na torch
ya kuzurura nayo usiku
ukitafuta network
🙆🤓🤓🤣

27/02/2025

TAFADHALI SOMA...
*Mzee wa miaka 78 alianguka na kukimbizwa hospitalini. Alipewa oksijeni kumsaidia kwa saa 24. Baada ya muda, alikuwa bora. Kwa hiyo, daktari alimpa bili yake ya ksh 500,000, na alipoona bili, akaanza kulia.

Daktari alimwambia asilie kwa sababu ya bill.
Lakini yule mzee akasema, "Silii kwa sababu ya pesa, naweza kulipa pesa zotehiyo ata mara kumi nalia kwa sababu kwa masaa 24 tu ya matumizi ya oksijeni, lazima nilipe 500,000ksh, lakini nimekuwa nikipumua hewa ya Mungu kwa miaka 78 sijawahi kulipa chochote, unajua ninadaiwa kiasi gani?“

Daktari aliinamisha kichwa chini na kutokwa na machozi,” Sasa kwako wewe uliyesoma haya, unavuta hewa ya bure kutoka kwa Mungu bila gharama yoyote ya kulipia.

Tafadhali chukua sekunde mbili tu za wakati wako na uwashirikishe wote kwa vikundi 5 tofauti vya Facebook ili na kwa sekunde chache utakuwa na mamilioni ya watu wanaomba na kumshukuru Mungu kwa huduma za bure maishani mwao.

Ushuhuda mkubwa unakuja kwa kila anayeshiriki hii, inaanza na wewe unayesoma hili..

Tuseme Amina.

26/02/2025

Are you single?if you are single inbox me
bacause i have asingle bed to sell please 😂

26/02/2025

Unangoja aliyekudharau akusalimie kwa heshima halafu ananunua Range Rover 💔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

26/02/2025

For me it's not till death do us part, it's till disrespect do us part 😂. I'm not a rehabilitation center for badly raised humans

25/02/2025

🤣kei tii tii tirii tati tirii tii 🤣

25/02/2025

Nikunoma

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Machakos?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mombasa Road
Machakos