BK RADIO 99.3 FM

BK RADIO 99.3 FM

Share

Media Radio station

05/06/2026

Amuka Kumekucha kumepambazuka.... Bk Asubuhi Imeanza ,6am_10am Na Dj Zack256.
Sms:0702 993 993
Online:www.bkfm.co.ke

04/06/2026

Bk Asubuhi Inaendelea, 6am- 10am Na Dj Zack256.
Unasikiliza Ukiwa Wapi kwa Sasa?
Sms:0702 993 993
Online: www.bkfm.co.ke

03/06/2026

Ni Wakati Wa Kuamka Tuchape kazi, maisha Inategemea na Bidii yako.
Bk Asubuhi Imeanza Na Dj Zack256, 6am-10am.

Unasikiliza ukiwa Wapi?
Sms:0702 993 993
Online:www.bkfm.co.ke

02/06/2026

Karibu Ndani Ya Bk Asubuhi na Dj Zack256, 6am - 10am.

Weka Wazi: Tunaangazia Siasa Za Wadi ya Sinoko, Kaunti ya Kakamega, Benson Mugami Amadi Ndiye Mgeni Wetu leo.
Unasikiliza Ukiwa Wapi?
Sms:0702 993 993
Online:www.bkfm.co.ke

01/06/2026

Karibu Ndani Ya Bk Asubuhi Na Dj Zack256


Unasherehekea Ukiwa Wapi leo?
Sms:0702 993 993
Online:www.bkfm.co.ke

29/05/2026

Amuka Kumekucha kumepambazuka.... Bk Asubuhi Imeanza ,6am_10am Na Dj Zack256.
Sms:0702 993 993
Online:www.bkfm.co.ke

28/05/2026

Bk Maskani Imeanza 4pm hadi 7pm Na Dj Zack256.
Unaisikiliza Ukiwa Wapi?
Gumzo: Je, Laana Hufanya Kazi? Leta Ushuhuda.
Sms:0702 993 993
Online:www.bkfm.co.ke

28/05/2026

Amuka Kumekucha kumepambazuka.... Bk Asubuhi Imeanza ,6am_10am Na Dj Zack256.

Sms:0702 993 993
Online:www.bkfm.co.ke

27/05/2026

Mtu mmoja aliepigwa risasi alipokua Akichunga mifugo katika shamba la ADC Olingatongo, mpakani na shamba la Kitalale ameaga dunia wakati akipata matibabu katika hospitali ya Rufaa mjini Kitale.

Inadaiwa alipigwa risasi na Afisa wa Npr.

Kupitia maandamano, Wakaazi na Viongozi eneo Eneo hilo Wamelaani tukio hilo.

27/05/2026

Goodmorning, Karibu Ndani Ya Bk Asubuhi na Dj Zack256, Kuanzia 6am hadi 10am.
Umeamkaje?
Sms:0702 993 993
Online:www.bkfm.co.ke

Want your business to be the top-listed Media Company in Kitale?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Kitale
LATITUDE:1.01774LONGITUDE:35.00319×+−