Mr one2
🙏
26/03/2026
Most painful words in high school
1 unaitwa na depa 😳😳
2 ukishika naanza 🙄🙄
3 hauko kwa list 🤣🤦
4 Aya kuja vileulivyo 😃😃
5 leta Iyo karatasi kijana 😜😜
6 k**a huna notes songa mbele 😭😭
7. K**a hukufanya assignment ya math tukutane maths department 🚶🚶🚶
8 kwa wenye hamna tie socks na school shoes msitoke parade 😢😥😢
9 Aya wenye walipata E last term mrudi mlete wazazi 😔😔😔😔
10 mzazi wako amesema nikupee hii Mia mbili ameshikika hatakuja visiting kesho 😂😂😂😂
11 ulipatikana dorm time ya prep tuletee rangi 🤣🤣
12 Wewe usiende nyumbani skul fees, tumeongea na mzazi😪😢😢
13 after lunch Ni Chem double alafu math double 🙄🙄😂🤣😂🤣😂
Alafu wakuu si tu invite friends wa follow our page🙏🙏
20/07/2025
🙏🙏Mimi kwa maoni yangu Mr speaker kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema🚶ila tu nikisema pia Niko miongoni mwa wasanii wa kubwa Kenya nitakuwa nmekosea mtu ama tu ni wivu uko nayo 👈👈
28/06/2025
⚜️⚜️⚜️
Jana jioni nilitoka kazi nikiwa late kidogo,nikaona nitembee,ilikuwa kitu 5:30pm hivi🙆 mimi nikiwa na haraka zangu kandokando mwa barabara,mbele yangu niliona wallet🔥
Mimi nikaona akh na vile niko msoto hii nayo siwezi kaiwacha👊nilienda kwenda mahali ilipo huku nikiangalia kando yangu nione k**a kuna watu wanaweza kuwa wananiangalia huku nikijifanya as if kuna kitu nimepoteza naendelea kuangalia hapo njiani,kuifikia kulikuwa na wanaume wawili pia walikuwa wanatoka mbele yangu,nikafikiria inaweza kuwa ni yao waichukue,lakini wapi?
Waliipita wakaenda👊
Nikaenda mbio nikaikanyaga mbele yangu tena wapita njia walikuwa wengi hiyo time,Nikiwa naikanyaga nilianza sasa kujifanya k**a mtu mwenye anangoja gari hapo aingie👊
Nikasimama hapo karibu 1hr juu barabara ilikuwa busy🙆
After watu kuisha niliibeba hiyo wallet haraka nikasikia kweli ni mzito👊mimi nilienda teke nikaingia kwa njia za streets nikaamuua kuifungua hiyo wallet👊
Kufungua hiyo wallet hivi🙆 Alarm yangu ya phone 📱 iliring nikaamka asubui kujitayarisha kwenda kazini🤣
Kumbe ilikuwa ni ndoto tu🙆🙆🤣🤣🤣
Kupata stories zangu mingi gusa hiyo follow juu ya post tuchekange pamoja. Usipitwe manze 😂😂
P265
13/04/2025
You can never buy love, but still you have to pay for it.🙄😳🤣
25/03/2025
🏆🏆🏆
Nlimkatia bibi wa jirani akanikataa🤔🤔. Mi naye nikashika simu ya dem mwngne nikamuandikia message "hey momma wachana na Wafula nampenda sana na ivi karibuni tutaoana ubaki pkee yako". Kuona hii message akakasirika akataka kumfanyia bwanake revenge sasa akakuja kwangu akaniambia anataka tuanze mapenzi juu hata bwanake ako na mpango ya kando 🥰🥰. Wueeeh nikaona hii imeivana, so nikamuuliza mbona uwa namkatia anakataa, akapiga makoti akalia na akaniambia atanipenda siku zote na atanifanyia kila kitu nataka♥️♥️. Kuskia ivo mi nikamuinua dress akatoa panty. Sai nimelima yeye shoti mbili na style deadly deadly hadi sai ananiambia beb uniwachilie nitoke nipike breakfast hajui sai ni tym ya super🥰🥰. Ameniambia atanipea kila siku nidrill. Anyway wacha tukule tuanze shoti ya tatu nitakuletea taarifa vle iko🤣🤣🤣
Follow me for more jokes and stories
P663
23/03/2025
Maboyfriend wenyu wengi wanateseka sana,😢😢lakini hamuezi ona juu mmefocus sana na vile atakuspoil, vile atakupeleka out, akuvalishe, akutengenezeshe nywele na kadhalika.😢 Wewe unafocus tu na furaha ya kwako, hujiulizi huyu jamaa wangu anapitia Nini😢kuspoiliwa tu ndo main agenda yako😢Huyu boyfriend unaita wako labda Ako na stress zake na hata huwezi shughulika😢 mapenzi si kuspoiliwa pekee,💯ukimpenda kijana ya wenyewe, Hakikisha umejua anayoyapitia,💯 support huyo msee, si lazima umpee pesa,,wengi wenyu madem and am sorry to say so, the only thing mnachangia Kwa hiyo relationship ni kupeana tu.😢 Ebu jiulizee,, apart from kumpea hiyo kitu, kuna pahali pengine unamsaidia Kwa maisha?? 😢 Wengine hata ukiwaambia zile shida uko nazo, the biggest response mtu atakupea ni "waaah,, beb Sasa hapo utado??" Ama "Mungu atakusaidia tu usijali" 🤣🤣Ladies tafadhali, puliiis,,, be a good girlfriend...na k**a huezani achana nayo. 🙏🙏
Follow Mr one2Mr one2
21/03/2025
Bro, ukipata bibi ametoka kwa bwanake usipoteze wakati 😀, muoe mara that that juu "mke mwema hutoka kwa bwana"
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Address
Kolongolo
Kitale
HTTPS://YOUTUBE.COM/@COMEDIANLARDY