Vanzo Rotich

Vanzo Rotich

Share

Fan Manchester United
Follow to follow πŸ™πŸ™πŸ’―

29/05/2026

HEARTBREAKINGπŸ’”πŸ˜­:Mnakumbuka huyu Mzee akipiga nduru pale Utumishi Girls Academy jana akitaka kuambiwa penye msichana wake ako? Kumbe nafsi ilikua ndani yake ya kuonyesha alikufia kwa moto,pole sana iliniuma sana kuona baba akilia kwa uchungu ,mpe pole akiπŸ’”πŸ˜­.

24/05/2026
17/05/2026

K**a uko free drop your account tukufollowπŸ₯°πŸ€—

17/05/2026

Jamaa aliambiwa akule avocado 51 yenye haijaiva juu alipatwa akiiba kwa shamba Meru 😭πŸ₯‘Drama ilianza baada ya jamaa kushikwa akiharvest avocado za wenyewe kimyakimya. Badala ya kupelekwa polisi, wenye shamba wakamkalisha chini na kumforce amalize avocado zote alikuwa ameiba πŸ˜…

Avocado zenyewe zilikuwa mbichi kabisa na jamaa alibaki akiteseka akizikula moja baada ya ingine huku watu wakicheka. Wakenya kweli hawakosi punishment za creativity πŸ˜‚ follow vanzoo Rotich

17/05/2026

wacha tuone wenye walifika class eight 8πŸ˜‚πŸ₯° ,MSICHANA Mmoja alienda dukani akapata mwenye Duka amelala ,akamuibia 100 bob ,kisha akarudi Kwa hiyo hiyo Duka na hiyo Mia moja akaambia mwenye duka nataka unipee kitu yenye inafika shilingi 70🀩 mwenye Duka akampa na akamrudishia shilingi 30 πŸ₯΄ ..hivi mwenye duka alipoteza pesa ngapi?? Tuende kwa comments sasa πŸ₯° nataka kuona Wenye walisoma algebra πŸ€¦πŸΏβ€β™€οΈπŸ˜‚ πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚

Follow my page 🫴 vanzo Rotich

14/05/2026

People have so many good things to say about you, but you have to die first. in order to have their freedom to talk about you this is life guys😚😚😚πŸ₯°πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜

11/05/2026

Keshi doesn't seem to understand why we are so close to the end of the world. πŸ€”πŸ€”πŸ˜…

Like, Share, Comment, Follow

07/05/2026

What is running in your mind 🧠 right now and be very open 🀷?......

Want your business to be the top-listed Grocery Store in Kericho?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Vanzo Rotich
Kericho