Mutai

Mutai

Share

Professional Electrical engineer.

24/04/2026

‎Jirani yangu flani amekuwa akishuku bibi yake na pastor wake, so one day akasema anaenda business trip Burundi. Akaambia wife, wife nae akaambia pastor that the following day mzee wake anaenda trip , so akuje wafanye 'maombi' k**a kawa, na ii maombi yao inakwanga very special wanaombaga wakuwa ndethe. .

‎So the following day as agreed pasi akacome, aeneze injili hadi pale kilikoriz, ahubiri hadi injili ifike strait of hormuz, ahubiri hadi Wazungu wafike kumamoto Japan.

‎Wakati wakiwa kwa ile hali, wanataka kuanza 'maombi', bibi ya jirani alikuwa already ashatoa nguo amebaki na ile kamisi uwanga k**a vest, ata iyo kamisi shosho yangu bado akonayo back in the 19s, iyo kamisi ndo shosho yangu alikuwa anamaliza babu yangu nayo. .

‎Anyways alishikwa akitaka kumfungua mshipi, maybe alikuwa anataka kushona trouser ya pasi, hatuna efidenz, inasemekana pastor alikuwa anakula sadaka ya jirani, fungu la kumi, na pia anakula bibi yake, anyways iyo kesi bado iko kwa chief ikiisha ntawaletea full live coverage. Naona tukifika mbinguni tukiwa tumechoka sana wallahi, wachungaji wanakula kondoo, anyways shida ni moja, na mnajua?!

24/04/2026

Alafu vijana mmeanza kukuwa watu wengine bure kabisa, unakatia dame ako ushago ukimwambia vile unamtaka akuwe bibi,

‎Then msichana anaamua kukuja Nairobi kukutafta, wewe na iyo kichwa yako kubwa unaamua kuzima simu.

‎Naskia watu wa boda boda wanejishindia mabibi, juu sasa dame amekuwa stranded hana place pa kwenda. Njugush my neiba saii naona anafika home mapema, ata amengara, na ivo ndo ilianza. .

28/09/2025
11/09/2025

Ata k**a ni wewe mamako akurushie sufuria uondokee igonge babako inaweza kosa kucheka😂😂🤣

05/09/2025

Pale kwa butchery ukinunua nyama ya 50 wanakufungia na gazeti ya michezo ndio uone uko na mchezo 😂😂😂

01/09/2025

Hii ndio inaitwa kukana pro max

26/08/2025

Chapati lovers,
How many chapatis can you finish in one sitting?
I want to check something.

25/08/2025

Pride can't pay your bills 🫵wake up hustle 💯

25/08/2025

Hii Katiba Day, is it a holiday or it's a normal work day?

25/08/2025

Stop playing victim in situations you’ve created and then flip the story to manipulate people to think you’re innocent. 💯

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Kericho?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Kericho