Tmx Rai
Siku zote tunajua Dunia n duara iweje leo uniambie kua Dunia n duara
am...Tmx Raison...music chart l know you needly help ; am here because off you ..just #clik Tmx Raison .bugg
04/03/2022
Ungejua roho ya MTU inapo lala usngi fanya vile unavyo fanyaga kitandani ukiwa Na bae wako.π»π» Na nmeenda
Heri niwe MTU nisiyejulika mbele Wala nyuma πππ nkijua nafanya nini nawaza Nini
Aky tumechuka kuliwa fare sna at wako akiombaga pesa unamulza aky bbei unatka nikuletee nn
Dunia hii nimejua kitu kimoja,,,,,,,,,,,, starehe Ni kwa mda shidah hazi ishiiiπΎπΎπΎ
Ringa kwa uzuri ulionao Ila ukumbuke aliyekupa huo uzuri ipo siku atautaji mwenyewe BY
Usifanya kile unachoona ,fanya kile unacho sema
Demu akikwambia bebi naitaji mafuta ya ngozi bc ujue ako deti na mwingne
Usipoo nifaa mwenzako atanifaa @ mwambie bae wako uone ajeβ’ββ
Kauli yako .ukiona pahali hufiki jaribu kueka kitu chini iliufike..... Sikuambie uende kwa mganga kutafuta utajiri
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Kilifi
Karen