Marvelous FC
Team ya E-Town..
Embu supreme football club habari zenu habari zenu tena
Embu supreme football club huko ushago mnasema aje transfer window inafunguliwa soon ile story ya ken@?
24/11/2024
Tupee hiyo blueflames
20/09/2024
Jumapili Baada ya sala ni hukumu
16/09/2024
Venye tunapimia opponents wa Quarters sunday
Kwanza nianze na hekoEmbu supreme football club taarifa tunazopata sinafurahisha sana
Murima iko imara
Pale runyenjes jumamosi.
Marvelous fc 2-0 manyatta fc
Marvelous 3-0 reagan fc
Kesho jumapili
4:00pm
Marvelous fc vs ajax fc
31/08/2024
MATCHDAY 20
SEASON FINALE
SEE YOU AT NJUKIRI SHOWGROUND
3:00PM
31/08/2024
Jedwali
🗣️Habari zenu ,Habari zenu KITHEGI FC
🤏Kidogo mkasahau mechi ni adi fina whistle ref akishaita zake 90+..lakin mshalearn💯
Half Time
Marvelous FC 0 🆚 Kithegi Fc 2
Full Time
Marvelous Fc 3 🆚 Kithegi FC 2
⏭️ On to the next one 🔥🔥🔥💪
🆚 Ndega FC
Up next
Vs kithegi
18/8/2024
Embu supreme football club mko na maoni ama top table affairs mliachana nayo
Embu supreme football club 🫵 mungu anawaona ..Mlidanganya Kambaru fc official 😂😂😂
Match day
Date:11/08/2024
Venue: embu showground
Time: 1:00pm
MARVELOUS VS KAMBARU
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Embu