Collo Wa Updates

Collo Wa Updates

Share

SAFARICOM BINGWA SOKONI AGENT TILL NUMBER 4151782
PHOTOGRAPHER πŸ“Έ

21/06/2026

Anacelebrate birthday yake leo πŸŽ‚ πŸ₯³πŸŽ‰β€οΈ

21/06/2026

πŸ’₯πŸ’₯ ingine mwejeje

20/06/2026

K**a anaita high heels Kong Kong marry that one bro,
She's not contaminated.

20/06/2026

Mvulana mwenye umri wa miaka 13 kutoka West Pokot amezua gumzo mitandaoni baada ya kuripotiwa kuacha shule ili kuanzisha biashara yake binafsi.

Kwa sasa mvulana huyo anamiliki duka na kinu cha kusagia unga, ambavyo anasema anaviendesha mwenyewe kikamilifu.

Katika video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, mvulana huyo anasisitiza kuwa shule ilikuwa ikipoteza muda wake kwa sababu haikufundisha jinsi ya kutengeneza pesa, jambo ambalo ndilo alikuwa analitaka.
Wale wa bundles till ni moja 4151782 amounts nimeeka poster comment section

20/06/2026

Alaah

19/06/2026

Unaona nani akishinda hii fight?? Gachau ama Phil

19/06/2026

Xaxa Collo ile till ya 4151782 bado inafanya nataka kununua xmx ya daily
Wamefika 😭

Photos from Collo Wa Updates's post 19/06/2026

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ—π“π‡ 𝐉𝐔𝐍𝐄 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Masaa ya saa tano ya usiku,chumbani mwa Nura,maskini wa Mungu akiwa amelala,Tinah alikuja,makosa😳 . Pole pooole akaingia na amevaa mask asije akajulikana. Nura ndio kale kamelala lakini akiwa amelala akasense kuna mtu,kuamka tu hivi, alishtuka kuona Tinah. Nura kujaribu kupiga nduru,Tinah akamshika koo akamwambia unyamaze,huwezi nichukulia chali yangu nikiona hivi. Tinah anataka kumumaliza Nura.

Kwa bahati ya Mungu,kumbe Asha alikua anakuja kutafuta maji ya kunywa,akasikia kwa room ya Nura kuna mvurugo. Asha kimbia Nura anamalizwa manze. Asha akakuja mbio akaingia akauliza Nura shida ni nini? Nura akagutuka kutoka kwa usingizi,akamwambia Tinah anataka kuniua,lakini kumbe,she was just dreaming.

Tinah on the side,away from dream ashatoka hosi wamerudi nyumbani,kumbuka shughuli ya mazishi inaendelea huku kwa Robert. Tyrone amekaa na Tinah hapo,na Robert akawajoin kutoka kwa bedroom,akaambia Tyrone manze, Annaliza hanyamazi amelia sana. Tyrone alimwambia usiwe na shaka,inaeleweka acha alie time heals.

All in mazishi imeisha,Kylian asharudishwa mavumbini and Tinah aliambia Robert,dad its time kurudi home na dad Tyrone.

Tinah alikuja akaongea na Annaliza akamwambia ataenda but wako kimoja kuhakikisha wanajua mwenye alimuua Kylian.

Huku kwa mansion nakwo, Asha amerudi akiwa amejam sana alimpata Nura akiwa hapo akiomboleza Kylian kisha akaanza kuita mamake, lakini Nura akamwambia Asha,mamako hajatoka mazishini tangu aende. Asha akamwambia noo,nataka aniambie amekua wapi ju hajakua kwa mazishi.

Kumbe Saida walitoka morning wakienda mazishi ya Kylian lakini yeye kufika alienda njia zake,hakuhudhuria mazishi.

On other side, Robert alijokia Tyrone akamwambia unaona sasa umechukua mtoto wangu tena,anataka tu kukaa kwako. Tyrone akamwambia usijali, before awe wako alikua wangu so hata mahari ikija inaanzia kwangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚it was very light joke.

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐
Asha amejam sana,anaambia Nura lazima akuje aniambie mbona hakuja kwa mazishi lakini Nura akamwambia usimhukumu pengine hakuenda kwa sababu lakini Asha akamwambia Nura sikiza, ulikuja huku kufanya kazi,shughulika na chenye kilikuleta huku,mambo yangu na mamangu achana nayo.

Woiye Annaliza,anajiuliza why,mbona mtoto wake auliwe hivyo,hadi anasema ingekua yeye achukuliwe than mtoto wake but Robert alimwambia usijali, we are in this together. Punde si punde,wakasikia kuna mtu anaknock kwa mlango hata kabla wafungue mlango,Kefa akaingia ndani akiwa kwa maumivu sana akaanguka kwa kiti. Annaliza wakashtuka shida ni nini,Kefa akawaambia sikizeni, nimekuja kuwawarn nimekua nachunguza kifo cha Kylian nikawa ambushed na three men,wamenitandika na wakaniambia nikuje niwape message muache kuchunguza kifo cha Kylian. What!

Sisi tunajua ni Kefa ni alimuua so hii ni plan yake ya kumake sure he is not investigated kwa kifo cha Kefa na hata uchunguzi uanze ju ukianza kuna uwezekano atapatikana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Saida ndio amefikaπŸ˜‚πŸ˜‚amelewa kulewa. Alikuja hadi kwa room yake na akafuatwa na Asha. Kumbe wakati Saida ameingia ndio pia Tyrone anafika akiwa na Tinah. Tyrone akauliza Nura k**a Saida ashafika,Nura akamwambia yeah ameenda kwa room sai sai,so Tyrone akaamua kuja kwa room aulize Saida shida yake ni nini. Lakini cheki,something happened.

Wakati Tyrone anakaribia kwa room Saida ako akasikia akiulizwa na Asha,mbona ako hivi ama ni mali ya babake anataka tu. Saida akamwambia sindio, ni mali nataka so isikuume ju natumia mali ya babako,kwanza alinipea mimba akaniacha nikateseka so iam just paying it back. Hii yote, Tyrone ako hapo nje anasikia.

Saida aliambia Asha,niko hapa kutumia hii mali ya babako kurudisha miaka yote yenye ililiwa na nzige,so usinipimie maisha. Yani Tyrone anasikia anakosa kuamini. Asha akaambia mamake,enyewe uko na roho chafu sana. Saida akamwambia usinijudge,wewe venye uliamua kudate jambazi ndio unadhani una akili sindio? Kumbe Asha kalijam kuambiwa hivyo,akaamua kutandika mamake kofi lakini Saida ako chonjo mbaya mbovu,alikafunika kofi hadi kwa chini πŸ₯²πŸ₯²kisha akaambia Asha sikiza, unakaa hapa ukiita ita Tyrone babako, nani alikuambia yeye ni babako?, Hadi Asha akashtuka,Tyrone pia kwa mlango akashtuka kusikia hivyo,kumbe Asha si wakeπŸ₯²πŸ₯²

Siku iliyofuata,Tyrone aliamka ready kuenda kazini lakini akiwa kwa gari,kuangalia kwa side mirror aliona kuna dem nyuma ya gari amebeba bag..Tyrone akashidwa huyu na yeye ni nani. Tyrone akashuka akakuja akamuuliza young lady nikusaidie aje ama umekuja kuona nani,lakini kadem badala ya kuongea kakamhug Tyrone,kisha kakatoa barua kakampea Tyrone. Tyrone kusoma ile barua, akamhug huyu msichana vizuri sana. Hapo na hapo Saida akawaona akakuja mbio akauliza Tyrone huyu ni nani lakini hakuongelesha,Tyrone akaingiza huyo dem kwa gari,pia akaingia anaeka bag ya dem ndani kisha haoo wakaondoka. Swali ni,who is she? Na bila kupoteza wakati acha niwaambie huyu msichana ni nani? Huyu msichana huyu, angalia my first comment, nimeeka hapo...

Meanwhile....
ukitaka bundles ukiwa na Okoa ama huna offer's ziko hapa
250MBS valid for 24hrs@20sh. 1GB valid for 24hrs . 1GB valid for 1hr . 1.5GB valid for 3hrs@50sh. 1.25GB valid till midnight . tumia hii Till 4151782 Ama 7179800 na usisahau ni instantly.

19/06/2026

Tufanye ile kitu kwa hii post

18/06/2026

congratulations πŸŽ‰πŸŽ‰Dem Wa FB

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Eldoret?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Eldoret