Meshack Rutoh
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Meshack Rutoh, Digital creator, Eldoret.
Kulala ni kawaida lakini kuamka ni Kwa neema ya mungu chukua sekunde moja kusema Asante๐๐๐๐๐
' '.. -''CHEMSHA BONGO''--..''--.''๐ฅ๐ฅ
Binti mmoja Alikatiwa na wanaume 4.
1.Msanii๐๏ธ๐ถ๐ป
2.Mvuvi ๐ฃโโ๏ธ
3.Askari ๐ฎโโ๏ธ
4.Doctor ๐ฉโโ๏ธ
Siku moja binti huyo alienda kufua mtoni , ghafla akatokea Mamba ๐๐ akamchukua na kuzama nae kwenye maji
MSANII: Akamuimbia' mamba wimbo, Mamba akatokezea juu ya maji
ASKARI: Pale pale akampiga Mamba Risasi akafa, na binti alibaki akitapatapa ndani ya maji.
MVUVI: akaogelea kuenda kumuokoa,
DOCTOR: akamtibu hadi akapona.
Je......? ni nani anaestahili Kumuoa binti huyo kati ya wachumba hao????
Good morning
20/05/2023
Click here to claim your Sponsored Listing.