Evans Comics
Script writter//Actor//Content creator//Video/photo editor//Social media influencer!!
#stay tuned and enjoy funny side of kenyan trending stories
NI mbaya๐๐๐
10/02/2026
Jembe nayo unaeza osha lakini shamba nayo ikilimwa imelimwa๐๐๐คฃalafu sistee unavaa off shoulder na mgongo inakaa jug ya kuchota simiti ๐๐คฃ
Evans Comics
025 tv
05/02/2026
Mimi naye ukinikasirikia more than 3 days na tunadate,ukirudi kuja na mzazi mmoja more so mamako๐๐,barua ya chief๐๐na certificate of good conduct ๐๐๐
Evans Comics
fans
02/02/2026
Sasa kuku na mwewe wembe ya five bob ndo ilifanya zikosane ๐๐story za jaba nazo zilianza kitambo๐๐๐
Alafu Mtu hakupendi ata ufanye nini hawezi kupenda๐๐
Evans Comics
025 tv
fans
31/01/2026
Umewai ona nikishika simu yako ๐คฃ๐milayas tupu alafu kuna hii ati zima lights Kwanza ๐sema tuh huwa hupaki haga mafuta๐๐
Evans Comics
025 tv
fans
28/01/2026
Kahawa ya Mtu mmoja bado ni kahawa ama kahuyu?๐ค๐
Evans Comics
fans
025 tv
Usiponipenda nitapendwa na Nani๐คฃ๐คฃ๐
025 tv
Evans Comics
25/01/2026
Acha tuh niwaambie ๐kuna siku Fulani niliamka mapema yani ilikuwa masaa kumi ivi nikafwata Giza polepole nijue inaendanga wapi but kusema ukweli atah Mimi sjui iliendea wapi๐ฅฒ๐๐๐
Evans Comics
23/01/2026
Kuna vitu zingine nazo niaje mkufii unazikwa na suti alafu unakujia watu Kwa ndoto na kanzu ya white ๐คkwani suti uliuza ๐๐๐
Evans Comics
20/01/2026
Unanikopa alafu unarudisha on time unadhani sijui unajaribu kupandisha limit,Niko rada ๐๐๐ซต
Comics
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Address
Nairobi
Busia
001