Charmant Tsongo Officiel
Aspire à inspirer avant d'expirer
04/11/2024
Kwa heri Bi Tesa
: Jeneza lenye mwili wa mwigizaji, Grace Mapunda maarufu 'Tesa', ukiwa katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar kwa ajili ya kuagwa, ambapo maziko ya muigizaji huyo yanatarajiwa kufanyika katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Grace alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumamosi Novemba 2, 2024 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam.
.
02/11/2024
Jamani duniani hapa tunapita
Msiba wa Mpendwa wetu Grace Mapunda upo nyumbani kwake Sinza Vatican, Dar es salaam. Kesho Jumapili tarehe 03/11/2024 itafanyika IBADA MAALUM Ya kumuombea marehemu hapo nyumbani kwake
Siku ya Jumatatu tarehe 04/11/2024 kuanzia saa tatu asubuhi mwili utaagwa kwenye viwanja vya Leaders , Dar kisha baadae mwili utapelekwa kwenye makaburi ya Kinondoni kwa ajili ya mazishi
JAFARI MAKATU
KATIBU TDFAAKINONDONI.
02/09/2024
😘😘😘
30/08/2024
Apparemment de bonnes choses sont encours
30/08/2024
Des très bons fims
Il est bon de compter sur soi, cependant il est encore mieux de compter sur Dieu aussi
Tant qu’on aura pas compris la leçon l’erreur se répétera encore et encore 🧠
Tant que l'aiguille de l'horloge tourne encore, gardez toujours l'espérance
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.