Mwash
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwash, Grocers, mwashiwanjala197@gmail. com, Meru.
14/01/2024
Ile mvua iko meru... hii inataka mtu awe na mtu wake haki
01/01/2024
22/12/2023
ππππ
14/12/2023
Oyaah! Hii mvua itaniua,Imeleta TV na bibi ya jirani kwang π
02/12/2023
BECKY CITIZEN TV WRITTEN UPDATES
BECKY 4TH DECEMBER 2023 FULL EPISODE
Becky alitoka akakuja kwake huku ghetto na kufika alianza kukumbuka venye Junior alikua anamwambia akae huko and how he feels when Becky is close. Becky alikataa,akamwambia haoni akikubali hii offer yake hata kidogo ju anajua akihamia huku anaeza kumdisapoint sana. Hii kitu inamkula sana Becy kichwa ju anaona maybe hangeambia Junior hivi considering that ndio amepoteza tu mamake juzi. Becky aliona chenye anaeza fanya maybe ni kusimama na Junior but sasa kuna Tito atadu? Akaona asort Tito kwanza asijue kuna kitu inahappen kati yake na Junior,so akaamua kuja kutafuta Tito.
Tito na yeye,washapika ugali wako hapa wanashambulia na Lexy mbaya mbovu,alafu sikuhizi anytime Becky anataka kuonana na Tito ameishi kumpata na Lexy, so tena leo maskini wa Mungu, wakati Becky amejipa kuja kuongea na Tito alimpata ready handed Lexy akimlisha chakula,mako...makosaπ€£π€£π€£π€£Tito alishtuka mbaya mbovu but already Becky ashamuona,akamuangalia na akaamua kurudi tu Haina haja nikuje kuongea na wewe wakati Lexy anakulisha chakula,woi!
Tito na yeye venye alikua amejipa kwa Becky tena,ilibidi amfuate akamwambia Becky chill kiasi lakini Becky alikataa,akamuuliza unataka nini? Tito akamwambia si ulikua unakam kuniona ama? Becky alienda straight,akamwambia kumbe hii muda yote ni Lexy,unamdai sindio? Tito alimwambia acha kuoverthink Becky,hakuna kitu yangu na Lexy. Becky alimwambia mimi si mtoto, wewe jibambe na yeye na after all mimi na wewe hatukopamoja,so wee jibambe na Lexy wako,nkt. Becky amejam sana na ukweli wa mambo ni, there is nothing kati ya Tito na Lexy!
Huku kwa mansion, Trisha alikuja kuomba msamaha kwa Moh akijifanya mzuri na akamwambia unajua mimi na wewe tulikua mabeshte but venye nilijua Jeff ni mtoi wa Junior,nikajam sana so yafaa unielewe haikua kupenda kwangu kukutusi kuwa uko na mdomo plural,so nataka tuwe mabeshte. Moh alimuelewa akamwambia ni sawa lakini sikiza usiwai nishoutia huku. Tri
28/11/2023
K**a ulipitia hapa tajasifa moja yahizi vitu
11/11/2023
βπππ ππππ ππ¨π ππ£π π¨ππππ
After kunyimwa two weeks leo nimepewa
Ukiona watu wameka kikao wanakuongelea ambia mungu Asante juu wewe nimtu wamaana Sana mbaka watu wanakusema AMEN π
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Meru, WA
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Mwash posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.