UDOSO CIVE
UDOSO CIVE is the Students' Organization at College of Informatics and Virtual Education (CIVE) in t
Twitter: https://twitter.com/UdosoCive?s=09
Instagram: https://www.instagram.com/udoso_cive/
28/09/2021
IDIT/HIS/DIP waliibuka CHAMPIONS kwa kishindo katika mashindano ya FIRST YEAR FIELD CUP 2021...👏👏⚽️⚽️
28/09/2021
CNISE/CSDFE/TE/CE waliibuka CHAMPIONS kwa kishindo katika mashindano ya FIRST YEAR FIELD CUP 2021...👏👏
26/09/2021
Uongozi wa serikali ya wanafunzi udoso cive unakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa mh.Saimoni christopher, katibu mkuu wizara ya habari , mawasiliano, michezo na burudani 🎂🎂
26/09/2021
Mshindi katika mchezo wa football 🏀 ni IDIT/ HIS/DIP ⚽️ 🔥🔥
Designed by@luxer_graphics
26/09/2021
Mshindi katika mchezo wa basketball 🏀 ni CNISE/CSDFE/TE/CE 🔥🔥
Designed by@luxer_graphics
Hatimae tamati ya CIVE FIELD CUP imewadia..!! Nani ataibuka na ushindi hii leo??! 🔥🔥
Comment below 👇..
23/09/2021
Match ya mwisho kabla ya fainali, usipange kukosa mtanange huu..🔥🔥🔥
23/09/2021
Baadhi ya matukio ya mchezo wa basketball 🏀 kati ya CNISE/CSDFE/TE/CE na MTA/IDIT/HIS/BIS/DIP...
22/09/2021
Matokeo ya leo, ni k**a unavyo ona MTA,IDIT,HIS,BIS,DIP Wakiongoza kwa points 45 dhidi ya CINSE,CSDFE,TE,CE
game is so hot 🔥, michuano bado inaendeleaa..
21/09/2021
It's Match day tukutane pale pale CIVE GROUND mtanange bado unaendelea, usipange kukosa..🔥🏀🏀
20/09/2021
Matokeo ya basketball GROUP B (CINSE, CSDFE,TE,CE) Wakiibuka kwa ushindi wa points 51 dhidi ya GROUP A(CS,IS,SE,DCBE)...
Designed by
20/09/2021
Hii ni match ya leo kati ya TEAM A Vs TEAM B
Uwanja ni ule ule CIVE GROUND usipange kukosa..🔥🔥
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dodoma