Newfm TV
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Newfm TV, Writer, katoro ccm, .
05/03/2023
05/03/2023
πππ
21/08/2022
Call me
23/12/2021
ttcc
18/10/2021
Order, 0784678733.
04/09/2021
Furaha yangu
# maisha yanguu......
08/01/2020
Mashambulizi yaliyofanywa na Iran dhidi ya kituo cha jeshi la Marekani nchini Iraq yasababisha vifo vya watu 80
Televisheni ya Iran βPress TVβ imeripoti kuwa, mashambulizi yaliyofanywa na Iran dhidi ya kituo cha jeshi la Marekani nchini Iraq yamesababisha vifo vya watu 80.
Habari kutoka Shirika la habari la Iran FNA zinasema ofisa wa kitengo cha ujausi cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameeleza kuwa, kwa mujibu wa ripoti inayoaminika, hadi sasa wanajeshi wasiopungua 80 wa Marekani kwenye kituo cha jeshi la anga cha Al-Asad nchini Iraq wameuawa, na wengine 200 kujeruhiwa.
Ofisa huyo ameongeza kuwa shabaha 20 muhimu kwenye kituo hicho zimeshambuliwa kwa makombora 15, ndege zisizo na rubani na helikopta nyingi zimeteketezwa.