Hulla Empire

Hulla Empire

Share

🎉
@hullaempire

14/04/2026

Logo yako ndio brand yako
Kuwa na logo sio tu pambo ni utambulisho wa company yako kwa upweke wake ambapo unawezesha mteja aweze kukumbuka kuhusu huduma yako.
Ili kupata logo zuri na yenye ujumbe unaoeleweka tucheki sisi tukupe ushauri na mikakati katika kuanzisha biashara yenye tija na mafanikio.
✅ 0712188839 au 0692356455
📍Dodoma Tanzania 🇹🇿

Photos from Hulla Empire's post 14/04/2026

Logo yako ndio brand yako
Kuwa na logo sio tu pambo ni utambulisho wa company yako kwa upweke wake ambapo unawezesha mteja aweze kukumbuka kuhusu huduma yako.

Ili kupata logo zuri na yenye ujumbe unaoeleweka tucheki sisi tukupe ushauri na mikakati katika kuanzisha biashara yenye tija na mafanikio.
✅ 0712188839 au 0692356455
📍Dodoma Tanzania 🇹🇿

Photos from Hulla Empire's post 28/03/2026

“Kazi safi, Printing ya kijanja!
Usikubali biashara yako ionekane ya kizamani. Pata Graphics zinazovutia macho na printing inayopendeka kwa gharama nafuu kabisa.

✅Logo zinazobaki kichwani
✅Vipeperushi (Flyers) vinavyouza
✅Posters na Mabango yenye rangi halisi

Tunazingatia ‘Finishings’ kwa sababu tunajua thamani ya kazi yako. Karibu tukuhudumie leo, hutojuta!

& ☎️☎️Piga/WhatsApp: 0712188839 | 0692356455

📍📍Tunapatikana: Dodoma Near ChakoniChako

24/03/2026

Banners design, print and delivery 🚚
Schools events
Cooperates
Wedding 💒 Reception
Common events
Hit DM
0712188839

20/03/2026

Eid mubarack to all muslims

17/03/2026

JE, BIASHARA YAKO INAZUNGUMZA? 🗣️✨

Muonekano wa biashara yako ndio picha ya kwanza mteja anaipata. Usikubali kupitwa! Nipo hapa kukusaidia kutoa huduma bora za ubunifu zitakazofanya biashara au shughuli yako ing’are mjini.

Tunadili na:

Matangazo ya mtandaoni (Digital Ads) 📱

Vipeperushi (Flyers) & Mabango (Banners) 🖼️

Business Cards za kisasa 💳

Kadi za mialiko (Harusi, Send-off, n.k.) 💌

Yote haya yanapatikana kwa bei nafuu sana na kwa ubora wa hali ya juu. Napatikana Dodoma, Tanzania.

📞 Wasiliana nami sasa: 0712188839 au 0692356455
Kazi safi, kwa wakati, na muonekano wa kipekee!

Photos from Hulla Empire's post 10/03/2026

Get your designs printed ✅🤝 ☎️0712188839

08/03/2026

Happy 😊 women’s day
World 🌍

Photos from Hulla Empire's post 07/03/2026

Business cards design and printing ✅🤝

Photos from Hulla Empire's post 06/03/2026

Social media ads posters ☎️🫡✌🏾

03/03/2026

Designed
By me 🤝😌

Telephone

Website