Shaban Rajabu

Shaban Rajabu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shaban Rajabu, Fashion Model, Arusha.

13/08/2026

mwenye Tambo k**a hili mbele

05/08/2026

08/07/2026

hapo vipi marafiki

08/07/2026

ngumi jiwe kapigika mtu

21/06/2026

karibu sana ujipatie huduma za Lipa namba mitandao yote

04/05/2026

VYAKULA VYA KUOBGEZA NGUVU ZA KIUME.
Tatizo la nguvu za kiume, limekuwa likisumbuwa vijana wengi sana, na hii ni kutokana na namna ambavyo vijana wengi wanaishi. Miongoni mwa matendo na tabia za vijana huwenda ikawa ni sababu tosha ya kuwa na tatizo hili. Yapo mabo mengi sana yanaathiri nguvu za kiume. Pia unaweza kubadili utaratibu wa maisha unaoishi na mambo kiu wasa baada ya muda.

Je na wewe ni mwenye kukabiliwa na tatizo la nguvu za kiume. Je unaishia bao moja kisha basi, ama unacheza ndani ya dakika 3 ama hufiki kisha basi? Makala hii ni kwa ajili yako. Hapa yutakwenda kunagalia vyakula vizuri kwa kuongeza nguvu ya kuime. Pia tutaona maadui zako wanaoweza kuathiri nguvu za kiume. K**a utakuwa na maoni ama maswali zaidi, tuwachie hapoo chini:-

Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
1.Kupiga punyeto
2.Kuwa na misongo ya mawazo
3.Kuwa na uwoga wakati wa kushiriki tendo
4.Matumizi ya vidonge vya kuongeza nguvu za kiume
5.Kuwa na maradhi k**a kisukari na presha ya kupanda
6.Umri
7.Vyakula
8.Kutofanya mazoezi

Njia za kuongeza nguvu za kiume
1.Badili mfumo wa vyakula vyakula salama kwa nguvu za kiume.
2.Fanya mazoezi ya mara kwa mara
3.Punguza mishongo ya mawazo
4.Jiamini unapoliendea tendo
5.K**a unatumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume, jaribu kupunguza matumizi ama kuacha
6.Wacha kujichuwa ama punguza
7.Jitahidi kudhibito kisukari ama presha ya kpanda.

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume.
1.Maharagwe ya soya
2.Mbegu za maboga
3.Karanga
4.Korosho
5.Samaki
6.Nyama
7.Kuku
8.Matunda epo
9.Mboga za apricot na brocol
10.Kabichi
11.Karoti
12.Kitunguu thaumu
13.Mimea jamii ya kunde
14.Kitunguu maji
15.Pilipili kali
16.Viazi vitamu
17.Nyanya
18.Mayai
19.Mbegu za chia
20.Chokoleti
21.Siagi
22.Asali
23.Tangawizi
24.Maji

25/04/2026

DALILI ZA KUTOKA KWA MIMBA
Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka. Yaani karibia robo ya mimba zinazopatikana hutoka. Kitendo hiki cha kutoka kitaalamu huitwa misscarriage. Hiki ni kitendo cha kupotea kwa ujauzito kabla ya wiki ya 20. karibia mimba nyingi hutoka ndani ya miezi mitatu ya mwanzo. Mimba iliyotoka inakuwa na dalili kadhaa. Pia wakati mwingine dalili hizi huashiria kuwa ujauzito upo hatarini.



Dalili hizi ni k**a;

Kutokwa na damu nyingi ukeni. Mjamzito anaweza kuona damu ikitoka ikiwa chache yaani matone kadhaa ama madoa hii ni kawaida. Lakini ikiwa nyingi huashiria hatari kwa ujauzito.
Kupungua uzito kwa ghafla. Bila ya kujuwa sababu yeyote mjamzito anapungua uzito wake kwa ghafla sana.
Kutokwa na uteute wa rangi ya pink iliyo pauka kwenye uke
Kuondoka kwa dalili za ujauzito kwa ghafla
Kutokwa na tishu yaani k**a vipande vya nyama vinatoka ukeni
Maumivu makali ya mgongo ama tumbo

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Arusha
DARESSALAAM