Mr SUPER RICE GRADE ONE

Mr SUPER RICE GRADE ONE

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mr SUPER RICE GRADE ONE, Food Wholesaler, +2556 9210 3508, Temeke.

24/07/2026
Photos from Mr SUPER RICE GRADE ONE's post 25/06/2026

Karibuni sana
Bei ni 3500/=kwa kilo..
Free derived in DSM.
Kuanzia kg 3 hadi 100
Tupo buguruni karibu na ukumbi wa lakam

22/06/2026

Napokea oda ,nimchele mzuri kutoka shambani mbeya..
Bei ni 3500 katika vifungashio imara
Tupo buguruni karibu na ukumbi wa LAKAM
069210 3508 WHATSAPP

09/05/2026

Karibuni sana ...
Tunatuma kwa uwaminifu mkubwa

21/04/2026

Tunapatikana Temeke yombo na Buguruni mkabala na kota lakecome..
Karibuni sana mchele ni mzuri sana
Hauna makapi ,nimsafi
Unanukia sana
Bei ni kg 3500 kuanzia Kg 3 na kuendelea
Upokwenye vifungashio inara na bora kwa Afya kwa ujumla.
Karibu sana na tunafanya free derived ndani ya DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 PEKEE ILA mikoani tunatuma kwa uaminifu zaidi

20/04/2026

Mzigo upo wakutosha maboss zangu..
Njoo weka oder yako
Bei 3500 kwa kilo moja na tunaanzia kuuza kg3 nakuendelea..
Tunafunga katika mifuko imara na bora
0692103508

06/04/2026

Karibuni sana...
Nimchele mzuri,mtamu,Unanukia vizuri..karibu kwa oder yako boss
Bei ni 3500/= kwa kilo
Tunaanza kufunga kg 3 nakuendelea
Upokatika package nzuri na imara
Tunafanya derived bure kwa dar es salaam pekee mkoani pia tunatuma.
Karibu sana kwa mahitaji bora ya mchele mzuri
MAWASILIANO:-
WhatsApp no 0692 1035 08
Piga kawaida 0778 4045 13

06/04/2026

Bado tunaendlea kupokea order k**a unahitaji mchele safi,super premium 👌
1.HAUNA UCHAFU
2.UNAHARUFU NZURI SANA
3.NI MTAMU SAANA
4.HAUJACHANGANYWA..
✅️UPO KWENYE VIFUNGASHIO IMARA NA BORA KWA AFYA KWA UJUMLA.
🚍🏍USAFIRI NI BUURE HADI ULIPO🏍🏍
💯BEI NI 3500 KWA KILO..
✨️🏆TUNAANZA KUPIMA KUANZIA KILO 3 NA KUENDELEA
🔑🔑TUNAPATIKANA YOMBO NA BUGURUNI.
PIGA SIMU :- 069210 3508
0778404513
WEKA ORDER YAKO.

Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service in Temeke?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

+2556 9210 3508
Temeke