Student point

Student point

Share

Student point ni ukurasa ambao wanafunzi hukusanyika kwa ajili ya kujifunza na kuwafunza wengine karibu

10/12/2023
10/12/2023

AINA TATU ZA WANAFUNZI DARASANI

1-founder student..
2-Relay student
3-focus student

Sifa za founder
-aina hii ya wanafunzi ni wachache sana
-ufaulu wao ni wastani
-wana ufikiri na mchanganuo mkubwa wa mawazo
-ni mara chache kuona wanakalili bila kuelewa
-wanapenda kudadisi kitu kwa kina
-hupenda kusoma masomo ya sayansi
-hufaulu sana maswali yanayopima uelewa wa mwanafunzi mfano: bios & chem(paper 1 advance)n.k
-hawapendi kukalili kalili
-wana kuwa na shauku ya kugundua kitu fulani.
-ufaulu wao ni wastani kwakuwa mitihani mingi haipimi uwezo wa ufikiri na mchanganuo wa mwanafunzi bali ni uwezo tu wa kuhifadhi kile alichokisoma
-hupenda kueleza kitu kiufupi na chenye maana iliyoshiba(short & clear).

2.relay student
-idadi hii ya wanafunzi ni kubwa sana
-hupenda kuelewa kabla ya kukalili ikishindikana haoni tabu kukalili bila kuelewa kwa lengo lakujibia mtihani tu
-wengi ufaulu wao ni wajuu sana na wachache wachini
-hupenda kusoma masomo ya aina yoyote arts & sciences
-ufikiri wao ni wastani
-wanafunzi wa aina hii huwa hajijui ni mahili sehemu gani arts au sciences
-wanafaulu sana kwakuwa mitihani ya masomo mengi hayapimi uwezo wa mchanganuo wa mwanafunzi kwa kile alichosoma bali ni uwezo tu wa kuhifadhi kile ulichokisoma.

3. Focus student
-ni wazito sana kuelewa hivo huona bora kukalili kuliko kujaribu kuelewa kabla ya kukalili
-wengi wao ufaulu wao ni wachini
-ni wataalamu wa kukalili kitu k**a kilivyo
-wengi wao ni wachoraji wazuri sana
-hupata shida wanaposoma kitu kinachohitaji ufikiri wa kina
-watu wenye busara na wenye kuyajua maisha wachache wao
-hupenda kueleza kitu kisiasa zaidi

Want your school to be the top-listed School/college in Temeke?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

Temeke