Ebenezer Studio - Songea

Ebenezer Studio - Songea

Share

Video Shooting
Indooor and Outdoor Photoshoot
Video Editing
Internet Services
Online Application

05/04/2026

KADI ZA KIDIGITAL KADI ZA KISASA, KADI ZA KUSCAN TU. KARIBU EBENEZER STUDIO.

05/04/2026

*ISHI KIFALME/ ISHI KIJANJA NA EBENEZER STUDIO.*

Ebenezer Studio & Stationery iliyopo Songea Mjini, Inakuletea huduma za kadi za mialiko za kisasa na za kijanja, kadi hii inamuonekano mzuri sana na inavutia sana inakufanya uishi kijanja kwani inasehemu ambayo inaruhusu kuscan yaaan *QR CODE.*

Inasaidia kuepukana na matumizi ya mark pen na karatasi za majina ya waalikwa ukumbini kwani kupitia simu yako tu itakusaidia kuhakiki wageni waalikwa wote kwa haraka zaidi.

*KARIBU TUKUHUDUMIE*

Ishi kifalme, Ishi kijanja
* na Teknolojia*.

04/04/2026
27/02/2026

KARIBU SANA Ebenezer Studio - Songea And Stationery Mshangano

Photos from Ebenezer Studio - Songea's post 16/02/2026

Birthday with Family Picha na Ebenezer Studio Songea

16/02/2026

Home Picha na Ebenezer Studio - Songea

16/02/2026

Asante Boss kwa kufanya kazi nasi katika Birthday Yako

19/01/2026

TUNA TOA HUDUMA YA KUPRINT LARGER FORMAT KARIBUNI SANA.

Want your business to be the top-listed Realtor/realty Service in Songea?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

MSHANGANO SONGEA
Songea