Amse Tech
IT Technician
صلى الله عليه وآله وسلم
Amse Tech
Amse Tech
Abduli Selemani
Hasan al basry
Amse Tech
Abduli Selemani
18/11/2025
Hakika sisi ni wa Allah, na kwake Yeye ndiyo marejeo yetu.
**Mwenyezi Mungu awajalie Mahujaji wote Jannatul-Firdaus.**
Kulikuwa na ajali mbaya sana katika barabara ya *Makkah–Madinah* mapema Jumatatu, ambayo imesababisha vifo vya mahujaji 42 kutoka India, wote wakiripotiwa kuwa wakazi wa Hyderabad.
Basi iliyobeba mahujaji wa Umrah iligongana na gari la mizigo lililobeba mafuta karibu na eneo la Mufrihat na kulipuka moto, na kumwacha mtu mmoja tu akiwa ameokoka. Timu za Uokoaji za Saudi (Civil Defense) zimesema kuwa moto mkubwa uliotokea uliifanya shughuli ya uokoaji kuwa ngumu sana.
Amse Tech
Ubalozi wa India mjini Riyadh pamoja na Konseli ya India Jeddah wamefungua namba za dharura za kusaidia na wanaendelea kushirikiana na mamlaka za Saudi kutambua miili ya waathiriwa na kuratibu mipango ya kuirudisha nyumbani.
Amse Tech
Grow together
14/11/2025
Amse Tech Nimefikisha Wafuasi 100! Asante kwa msaada unaoendelea. Singeweza kufaulu bila kila mmoja wenu. 🙏🤗🎉
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Singida
43000
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |