Patie Mkongo
KWA HABARI ZA KIJAMII, MICHEZO NA BURUDANI #MkongoUpdates
USIVAE PETE K**A HUJUI MAANA YAKE ,UTAFIRISIKA!
24/04/2024
"Mafanikio sio ufunguo wa furaha. Furaha ndiyo ufunguo wa mafanikio. K**a unapenda kile unachokifanya, utafanikiwa." ~ Albert schweitzer
22/04/2024
Sababu moja wapo ya msongo wa mawazo ni pamoja na wewe kujilaumu Kwa fursa unazozikosa, kujilaumu na kusemwa sababu ya woga wako,
NB..Epuka kujilaumu badala yake jifunze.
10/04/2024
EID MUBARAK🙏🙏
KWA MATUKIO YA KIJAMII NA DONDOO ZA HABARI TANZANIA HUSUSANI JIMBO LA MSALALA
Ungana na Familia yetu ya Mjasilia Tv Kwa kubonyeza link chini.👇🏽
https://whatsapp.com/channel/002
Mjasilia Tv ©2024
04/04/2024
MWENGE WA UHURU NDANI YA WILAYA YA SIHA
•Dondoo za Habari
______________________________________________
MWENGE wa Uhuru umepokelewa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro ambapo unatarajiwa kuzindua miradi sita yenye thamani ya Bilioni 6.933. Soma https://whatsapp.com/channel/002
Mjasilia Tv © 2024
16/02/2024
"Nataka niwaombe Jambo moja tu ndugu zangu ,nataka tuwe Kakola moja, kwa Sasa tuzungumze habari za Maendeleo ,hoja zote zilizotolewa hapa na Wananchi niukweli na sisi viongozi tunachangamoto,nataka tukienda kwenye kamati ya Baraza niwahoji viongozi changamoto walizozisikia kwa wananchi. Wenyekiti wa vijiji someni mapato na matumizi" - Mh. Idd Kassim Idd Mbunge Jimbo la Msalala.
Akizungumza katika Mkutano na Wananchi wa Kata ya Bulyanhulu Kijiji cha Kakola
16/02/2024
16/02/2024
MKUTANO WA MBUNGE JIMBO LA MSALALA IDD KASSIM IDD.
16/02/2024
MKUTANO WA MBUNGE IDD KASSIM IDD KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KATA YA BULYANHULU
14/02/2024
Kila ifikapo Tarehe 14 mwezi wa pili Dunia inaazimisha siku ya wapendanao.
Mwaka huu imekuwa tofauti kidogo kwa Msalala Tv ambao wamesherehekea na watoto yatima waliopo Shule ya Msingi Bugarama. Msalala Tv wametoa , Sukari,dawa za mswaki na miswaki, Sabuni za vipande na za unga ,Madaftari (peni&penseli) ,Juice, na P**i K**a njia moja yakuwapa tabasamu watoto wetu.
Msalala Tv wameungwa mkono na wadau wamaendeleo ya Jamii, K**a vile HAPPY TALENTS PROMOTION ,KING MAPUNG'O KAMPUNI YA MJASILIA, MASOY ELECTRICAL, ELISHA SPEAR PARTS, MUDYLIZER FASHION na wadau wengine wengi katika kusapoti Jambo hili la kijamii
Tukio hili pia lilipata baraka zote kutoka Serikalini ,ambapo Diwani kata ya Bugarama Bi.Priscah, Mwenyekiti wa Kitongoji Buyange, Afisa Maendeleo kata ya Bugarama Bi.Annah Mwakalinga wote waliudhuria katika tukio hili lakuwapa Furaha watoto wetu chini ya Kauli mbiu "MTOTO WAKO MTOTO WETU".
'o .
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Opening Hours
| 09:00 - 17:00 | |
| 18:00 - 19:00 |