Masaihost.com
We’re the most reliable and affordable web services provider in Tanzania.
Our main services are Web Hosting and Website designing – We deliver High quality, Accurately and Fast
17/07/2024
CAR TRACKING
Unahitaji kufuatilia gari/pikipiki/bajaji yako kwa ajili ya usalama na kudhibiti mapato?
Ninafunga mfumo wa udhibiti (vehicle tracking system) unaokuwezesha kujua gari/pikipiki/bajaji yako ilipo, umbali inayotembea kila siku na ruti zote inazoenda
Kupitia simu au komputa yako utajua ikiwa dereva amepaki au anatembea, ikiwa gari/pikipiki/bajaji itaibiwa utaweza kujua inaelekea wapi ili kuweka kizuizi lakini pia unaweza kuzima injini
FEATURES
*KUJUA GARI/PIKIPIKI/BAJAJI ILIPO WAKATI WOTE HATA K**A IMEZIMWA
*KUJUA RUTI ZOTE INAZOTEMBEA KWA SIKU
*KUJUA KIASI CHA UMBALI INAOTEMBEA KILA SIKU (KM)
*KUFUATILIA MUELEKEO WAKE NA KUWEZA KUZIMA INJINI IKIWA ITAIBIWA
*KUJUA MATUMIZI HALISI YA MAFUTA KILA SIKU
Kwa Mahitaji wasiliana nasi 0767659145, 0787659145
Tunakufikia kokote ulipo, Bei ni TZS 250,000
Masaihost.com tunawatakia waisilamu wote mfungo mwema.
Bado tupo katika Promosheni kubwa katika huduma zetu, tunasajili na ku-design websites za Shule, Mashirika, Taasisi na Biashara kwa Sh 250,000 tu
Tupe mahitaji yako nasi tutakuhudumia
Tafadhali tembelea www.masaihost.com
02/03/2021
Tunatengeneza na kusajili Websites kwa ajili Bishara, shule, vyuo, taasisi za dini, mashirika nk.
TUNAKUPA OFA KUBWA YA BEI, Sasa ni Tsh 250,000 tu
Wasiliana nasi
Simu: 0767659145
Simu: 0620246040
Simu: 0787659145
Website: www.masaihost.com
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Shinyanga