dig.it.with.imani

dig.it.with.imani

Share

Let’s talk About 👉Digital Rights &Inclusion, Online Gender Based Violence and Digital Opportunities

26/03/2026

Leo kwenye diwi tunazungumzia jambo ambalo wazazi wengi tunaliona lakini hatulitaji kwa macho:
mtoto anavyoharibikiwa na mtandao kwa sababu tu algorithm inamlisha kila kitu.

Ukiachana nayo, inampeleka anapotaka na mara nyingi anapotaka ni vurugu, uwongo, au vitu vikubwa kuliko umri wake.

Lakini kuna njia. Tunaelezea namna ya kumtengenezea algorithm nyepesi yaani kuanza na akaunti za elimu, na kutumia zana za udhibiti kwa akili.
Sio kumzuia kabisa, bali kumuwekea njia salama ya kutumia mtandao.

25/03/2026

Nimeelewa! Hapa ni caption moja tu yenye uhai na kibanadamu, ikiongezea kuwa wengi wanafahamu ukatili wa kitamaduni pekee:



“Wengi wetu tunaujua ukatili wa kitamaduni – kupigwa, kufedheheshwa, kukataliwa nyumbani. Lakini ukatili wa kidigitali? Hao bado wengi hawajui hata unaanza wapi. 🥴

Kwenye episode yetu mpiya ya diwi, tunavunja ukimya huo.
Sawa, hapa tano za nguvu kwa ufupi:

1. Kusambaza picha au video za kijinsia bila ridhaa.
2. Kutishia kusambaza taarifa za kibinafsi au picha ili kupata kitu (sextortion).
3. Kufichua anwani, namba ya simu, au mahali pa mtu hadharani kwa nia ya kumdhuru.
4. Kuunda akaunti bandia kwa kutumia utambulisho wa mtu na kuchafua sifa yake.
5. Kutuma vitisho vya kumuua au kumjeruhi kupitia mitandao.
hivyo pia ni ukatili

08/03/2026

Kila jamii ina watu maalumu wanaowaamini nakuwasikiliza.

Katika siku hii ya wanawake tunajadili mvhango wa mashirika na taasisi za dini katika kupambana na aina mbalimbali za ukatili kwa wanawake.

08/03/2026

Tenga muda wako na angalia toleo hili maalum ya siku ya wanawake.

Je, dini ina mchango gani katika kupambana na ukatili wa kijinsia na kumuinua mtoto wa k**e na wanawake?

Ni discussion ambayo inasahaulika na haiongelewi, katika episode hii, tumechukua muda wetu kuongelea masuala yote yanayohitaji kuzungumzwa.

Hii ni Dig It With Imani (DIWI) na tunaendelea kuchimba. Usiache kusikiliza/kutazama mupitia chaneli yetu ya YouTube na majukwaa yote ya kidijitali, tafuta Dig It With Imani The Podcast.

06/03/2026

Get ready tomorrow new drop coming🤩🥳

20/02/2026

What’s your take 👀

Tazama episode nzima kwenye YouTube channel ya Dig It With Imani pia sikiliza kupitia majukwaa youte ya kidijitali nk

19/02/2026

Katika muktadha wa dini, ukatili/usawa wa kijinsia unamaanisha nini?

Sheikh Tahir Mohamed, anajibu swali hili.

Sikiliza episode nzima kupitia majukwaa yote ya kidijitali, nk pia tazamza kupitia YouTube channel huko kote tafuta Dig It With Imani The Podcast.

17/02/2026

Can Faith End Gender-Based Violence?

This episode explores the complex role faith institutions play in either perpetuating or dismantling harmful traditions.
We discuss how religious leaders can become allies in ending FGM, child marriage, and domestic abuse, and how we can empower youth especially girls to find freedom within their faith communities.

12/02/2026

inavobadilisha namna ya kuripoti kesi nchini Tanzania.

Kwa zaidi ya miaka 8 ya kukusogezea haki kiganjani mwako wanajivunia haya 🔥

Sikiliza episode nzima kupitia YouTube channel ya Sig It With Imani

DPI

11/02/2026

Taarifa zako zinalindwa vipi ukiwa mtumiaji wa aplikesheni ya ?

Sikiliza episode nzima kupitia YouTube channel ya Dig It With Imani The Podcast.

10/02/2026

Uhusiano kati ya ulinzi wa data/taarifa binafsi na miundombinu ya kidijitali/Digital Public Infrastructures.

Tazama episode nzima kupitia YouTube channel ya Dig It With Imani.

Want your business to be the top-listed Media Company in Njombe?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Magereza Road
Njombe
1086