Smy Technology

Smy Technology

Share

Tunatoa Huduma za Tehama na Mafunzo ya Kozi mbalimbali za ufundi

12/08/2025

‎FURSA ZA UCHUMI (NJIA YA KUFANIKIWA)

‎Ni uwezo au nafasi inayojitokeza kwa mtu, kikundi kutumia rasilimali zilizopo (k**a ardhi, fedha, maarifa, teknolojia, nguvu kazi, n.k.) kwa ajili ya kuzalisha bidhaa au huduma zitakazoongeza kipato na kuboresha maisha.

‎2. Mambo ya Msingi

‎✅ Aina za rasilimali (asilia na zilizotengenezwa)

‎✅ Teknolojia na ubunifu

‎ ✅ Soko na mahitaji ya bidhaa/huduma

‎✅ Mtaji na uwekezaji

‎✅ Sera na mazingira ya biashara

‎✅ Ujuzi na elimu ya wajasiriamali

‎3. Aina za Fursa za Uchumi
‎🎤 Fursa za Kilimo – Mfano: kilimo cha mazao yenye thamani kubwa, ufugaji wa kisasa.

‎🎤 Fursa za Viwanda – Uzalishaji wa bidhaa kutokana na malighafi za ndani.

‎🎤 Fursa za Huduma – Utalii, usafirishaji, mawasiliano, elimu, afya.

‎🎤 Fursa za Biashara na Masoko – Uuzaji wa bidhaa ndani na nje ya nchi.

‎🎤 Fursa za Teknolojia – Kutumia ICT, programu na uvumbuzi kuboresha maisha na biashara.

‎4. Sababu Zinazowezesha Fursa za Uchumi
‎🔥 Upatikanaji wa rasilimali asilia

‎🔥 Miundombinu bora (barabara, nishati, mtandao)

‎🔥 Sera nzuri za serikali

‎🔥 Elimu na ujuzi wa watu

‎🔥 Amani na usalama wa taifa

‎5. Changamoto za Kuzitumia Fursa za Uchumi
‎💧 Ukosefu wa mitaji

‎💧 Miundombinu duni

‎💧 Ukosefu wa taarifa sahihi za soko

‎💧 Mabadiliko ya hali ya hewa

‎💧 Vikwazo vya kisheria au sera

‎6. Umuhimu wa Kujifunza Fursa za Uchumi
‎💫 Husaidia mtu kubaini maeneo ya uwekezaji

‎💫 Hukuza ubunifu na ujasilimali

‎💫 Huchangia kupunguza umaskini na kuongeza ajira

‎💫 Husaidia kutumia rasilimali ipasavyo bila kuzitumia vibaya

‎TUTAENDELEA NA NAMNA YA KUWEZA KUZIGUNDUA FURSA KATIKA MAENEO MBALI MBALI

04/07/2025

Karibu Simiyu Institute of Technology, Fanya Application yako kupitia Tovuti smyit.co.tz
Round ya kwanza Deadline ni 18/07/2025

Piga Simu: 0747663862
WhatsApp: +255747663862

28/02/2025
01/06/2024

Karibu Chuo cha Simiyu Institute of Technology

Chuo kinapatikana Bariadi Mkoa wa Simiyu

Tunatoa Kozi za Muda Mfupi na Online

Tunapokea wanafunzi kila mwanzo wa Mwezi

Simu Piga simu 0785019365
Website: smyit.go.tz

08/05/2024

Karibu Chuo cha Simiyu Institute of Technology, Mafunzo yanaendelea kwa Kozi mbali mbali

Simu namba 0747663862

20/11/2023

It's a good Technical college

Photos from Smy Technology's post 22/10/2023

Kwa sasa Tunapokea wanafunzi kila Mwanzo wa Mwezi

Karibuni Sana

Want your university to be the top-listed University in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Bariadi
Mwanza

Opening Hours

Monday 06:00 - 00:00
Tuesday 06:00 - 00:00
Wednesday 06:00 - 00:00
Thursday 06:00 - 00:00
Friday 06:00 - 00:00
Saturday 06:00 - 18:00
Sunday 06:00 - 18:00