Sam Food
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sam Food, Food Delivery Service, Mwanza.
TUNAUZA DAGAA NA SAMAKI WA MWANZA KWA BEI NAFUU.
KARIBU SAM FOOD UJIPATIE DAGAA NA SAMAKI WENYE UBORA
TUPO MWANZA
TUPIGIEE 0786226392
JIUNGE KWENYE CHANNEL YETU
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7XfbDJ93wUbTxvlF0Q
27/05/2026
Wenye hotel wenye sherehe wenye familia nauza bei nafuu
Ndoo kubwa 250,000/= ndoo ndogo 150,000/=
Usafiri ni bureeeeeeeee
Tupigiee 0786 226 392
26/05/2026
Huyu samaki kwetu ni 6000 huko mliko ni bei gani??
26/05/2026
Nimeenda kula kwa mama Seifu nimeomba wali nyama rost nimeambiwa 3500 lkn nimeambiwa kuna wali nyama kavu ni 3000 nimechukia sana.. sijui utofauti uko wapi...
Wahaya mje huku 0786 226 392
24/05/2026
Huko mliko mnaitaje hii??
24/05/2026
Viungo naweka ndioo maana mnapenda dagaa wangu..
24/05/2026
Huyu jamaa ni rafiki yangu sana ila huwa ana haribu hela vibaya sana anaitwa ni mkurya wa Tarime😂
23/05/2026
Tuwe wa kweli kwa walio chukuaa mboga kwangu kwa mara yao ya kwanza walihisi nini wakati wa kula??
Ndoo kubwa 100,000/= tupigiee 0786 226 392
Tukamfollow Anitha wa Sam
23/05/2026
Nimekula na kusaza kwa Mama Seifu umemeza mate ukiwa wapi😂
20/05/2026
Ikitokeaa nimeoa nitampa masharti magumu mke wangu Anitha wa Sam kwa kifupi sitaki mtu mvivu kwenye maisha yangu. Na hii ndioo furaha ya wanaume wengi..
Nitamrithisha biashara ya dagaa wa kukaangwa wa Mwanza nitamfundisha hatua kwa hatua
K**a kuna mtu anataka aanze biashara hata leo anipigiee kwa namba zangu 0786 226 392
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |