Alfred Mbonye

Alfred Mbonye

Share

Welcome to the Official Page of Alfred Mbonye, ACTOR , MC & VIDEO PRODUCER

25/12/2025

Nawatakia heri ya sikukuu ya Noeli, Siku hii muhimu itukumbushe maisha ya Unyenyekevu na Upendo daima.

MERRY CHRISTMAS πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„

Photos from Alfred Mbonye's post 06/10/2025
28/09/2025

UKWELI bila UPENDO ni UKATILI,

UPENDO bila UKWELI ni UNAFIKI.

Sema UKWELI na ukosoe kwa UPENDO mwenzangu Mungu aliumba Dunia nzuri ila tunaiharibu sisi🀨

09/02/2025

Namshukuru Mungu kwa zawadi ya Maisha πŸ™πŸ½ Nawashukuru wazazi wangu, ndugu zangu, Marafiki na wote mnaokuwa sehemu yangu niwapo na uhai huu hapa Duniani, Mzidi kuniombea nidumu katika njia njema. HAPPY BIRTHDAY TO ME !

30/10/2024

*Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake*

Photos from Alfred Mbonye's post 23/04/2024

Ibrahimu alibarikiwa na Mungu, Daudi alibarikiwa na Mungu, Sara alibarikiwa na Mungu. Utabarikiwa na MUNGU huyo huyo.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Nyegezi
Mwanza