Bentech Security
BENTECH SECURITY SYSTEM HUDUMA ZETU
1. Ufungaji wa cctv camera
2. Ufungaji wa Electric Fence
3. Ufungaji wa Gate Motor
4. Ufunfaji wa Video Intercom
5.
Ufungaji wa Alarm System
6. Access Control
7. Pia tunafanya Maintenance na tunatoa ushauri kabla
20/05/2026
🔐 Usalama hauanzi baada ya wizi…
Unaaanza kabla yake. Kamera zeru ni bora full HD. Tupigie sasa 0764424874
Comment SALAMA k**a unahitaji usalama tutakufikia
18/05/2026
Je unajua kinachoendelea kwenye eneo lako la bishara au uwekezaji au nyumbani kwako?
Weka mfumo wa ulinzi wa kisasa na ufuatilie kila tukio kwenye simu yako
Kazi ikiendelea Mwamanyiri Busega
Tunafunga cctv camera za kisasa na kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha kila kona inalindwa.
Usalama si bahati… ni maamuzi.
👉 Location yako ni wapi?
Watu wengi huanza kufikiria usalama baada ya kuibiwa…
Usisubiri hasara ndipo uchukue hatua.
Linda familia yako, biashara yako, na mali zako leo. 🔐
Je, eneo lako lipo salama kweli? Hujachelewa tupigie 0764424874
10/05/2026
Hivi ndivyo tunavyofunga CCTV kwa ubora
Hatufanyi haraka… tunafanya kwa uhakika.
Kila kona inalindwa 🔐
Ungependa tufike kwako?
09/05/2026
❌ MAKOSA 3 YANAYOFANYA CCTV ISISAIDIE
1. Kununua camera fake
2. Kufunga sehemu zisizo sahihi
3. Kutokuwa na storage nzuri
Usifanye haya makosa.
Ungependa tukushauri bure?
08/05/2026
"Tangu nifunge CCTV, nimepata amani sana” - Mteja wetu Mwanza
Sasa anaweza kufuatilia biashara yake hata akiwa safarini.
Wewe je, ungependa amani k**a hii?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |