Vituko

Vituko

Share

Refresh mind

31/01/2025
22/05/2023

We are back

31/08/2020

Nikiwa na shilingi laki moja mfukoni pale kariakoo kila mtu namuona ni mwizi tu
Sijui ni kwann

31/07/2020

Shetani ni kiumbe wa ajabu sana
Anakufanya umtongoze mke wamtu
Alafu ukifumaniwa anakugeuka anahamia Kwa mwenye mke anamtia hasira ili akudunde adi utokwe manundu

Photos 04/02/2019
04/02/2019

The fastest way of communication is
*Television
*Telephone
*Tell a women
and if you want it faster tell her not to tell any one

20/12/2017

Uchawi ni pale tu unapokutana kwa bahat mbaya na mpenzi wako wa mtandaoni alaf ukiwa umevaa shati lile lile ulilovaa kwenye profile picha yako

20/12/2017

Uchawi ni pale tu unapokutana kwa bahat mbaya na Mpenzi wako wa mtandaoni alaf umevaa Shati lile lile ulilovaa kweny profile picha yako

12/10/2017

Habari zenu ma fans,nahitaji assistant admin kwa hii page,so kwa yeyote alietayali acoment hapo alaf mim nitam add awe admin

12/10/2017

Mambo yana tatanisha sana jamani,wew ukiwabize unampoza kwa kumfarij mpenzi wako kutokana na maumiv ya hedhi wakat Wa period ,kumbe kuna lijamaa lingine linafurahii kutokana na hiyo hari eti kwa sabab hakupata mimba,halijampa mimba

Want your business to be the top-listed Media Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Ilemera
Mwanza