Hrd Radiator Company Ltd
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hrd Radiator Company Ltd, Automotive, aircraft & boat, Hrd Radiator Company, Mwanza.
Hrd radiator Company hii ni kampuni ya Rejeta inayo jihusisha kwa uundaji na utengenezaji wa rejeta za aina zote, tunatengeneza rejeta za magar aina zote, mitambo aina zote, mfano marejeta mashine za migodini na viwandani, karibuni sana tukuhudumie.
28/12/2022
Maranyingi tumekuwa tukinunua vitu vya gharama na vyenye ubora mzuri,ila tunashundwa kuvihudumia,sasa kwakuliona HRD RADIATOR COMPANY LIMITED Tumeona kunanhaja ya kusaidia wewe mmiliki wa Generators tumeamua kufanya service ya Generator kwa ujumla kuanzia engine pamoj na rejeta yenyewe.
Lakini pia tunaouwezo wa
🎈kutengeneza rejeta mpya
🎈kubadili cover kutoka plastic kwenda Shaba au aluminium
🎈Tunafanya service ya intercooler na oilcooler
Bila kusahau tunaongeza njia kwenye rejeta aina zote na karibu ufanye kazi na sisi. Fanya miadi leo! Tunajua wakati wako ni muhimu lakini kujijali ni muhimu! Tupigie simu leo na utuweke kwenye ratiba yako.
☎️+255 716 995 561
☎️+255 744 451 271
Lakini pia Tunapatikana kwenye social networkszote k**a ifuatavyo:~
Facebook
Twitter
YouTube
LinkedIn
Website www.hrdradiator.co.tz
Yote kwa jina hilohilo HRD RADIATOR
COMPANY
26/12/2022
Heri ya sikukuu ya Krismas na MWAKA mpya.
28/11/2022
15/11/2022
Habari njema kutoka HRD RADIATOR COMPANY, tunaouwezo wa
🎈kutengeneza rejeta mpya
🎈kubadili cover kutoka plastic kwenda Shaba au aluminium
🎈Tunafanya service ya intercooler na oilcooler
Bila kusahau tunaongeza njia kwenye rejeta aina zote na karibu ufanye kazi na sisi. Fanya miadi leo! Tunajua wakati wako ni muhimu lakini kujijali ni muhimu! Tupigie simu leo na utuweke kwenye ratiba yako.
☎️+255 716 995 561
☎️+255 744 451 271
Lakini pia Tunapatikana kwenye social networkszote k**a ifuatavyo:~
Facebook
Twitter
YouTube
LinkedIn
Website www.hrdradiator.co.tz
Yote kwa jina hilohilo HRD RADIATOR
COMPANY
14/11/2022
Workshop team wanakukaribisha.....
14/11/2022
Tuwatakie kheri watoto wetu wa kidato cha nne katika mitihani yao ya mwisho.
📍📍TUNAPATIKANA UBUNGO MAWASILIANO MKABALA NA NJIAPANDA YA GETI LA CHUO KIKUU, KWA WAKAZI WA LAKE ZONE TUNAPATIKANA MKUYUNI SOKONI MWANZA.
🪟Ofisi zipo wazi kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa 2:30 Asubuhi mpaka saa 11:00 Jioni, kwa siku za Jumamosi tupo wazi kuanzia saa 2:30 Asubuhi mpaka saa 7:00 Mchana.
🔌Lakini pia Tunapatikana kwenye social networkszote k**a ifuatavyo:~
Facebook
Twitter
YouTube
LinkedIn
Website
Yote kwa jina hilohilo HRD RADIATOR
COMPANY
21/10/2022
Tunawatakia Jumaa njema wateja wetu wot..
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Mwanza
33110
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Saturday | 08:00 - 13:00 |