neymostore

neymostore

Share

Nauza dagaa nyamanono waliokaangwa kutoka mwanza karibu
sim :0769884311
Eneo: Mwanza ilemela

08/01/2026

Usingizi ni kitu mhimu sana kwa ukuaji wa mtoto
Ni vizuri kuhakikisha anapata unalala vya kutosha

Comment k**a mtoto wako anapata muda wa kupmzika vizuri

07/01/2026

Vitu muhimu kwa ukuaji wa mtoto

Part 2.Mazoezi / Activity ya mwili

Muhimu sana mtoto kupata muda wa kucheza ,kuliko kukaa kwa muda mrefu,

Mzazi mnununulie vitu vya kuchezea ili mwili na akili vichangamke

Na mzazi pata muda wakucheza na mtoto

Comment "YES" ikiwa unaheza na mtoto wako na mchezo gani anapendelea?

20/12/2025

Mama wewe ni Nuru ya kesho

19/12/2025

Mama moyo wako pia unaitaji kupumzika
achilia yale yanayoumiza ..

19/12/2025

kuna mizigo tunabeba kimya kimya ,lawama ,msongo wa mawazo na maneno yanayoumiza moyo.

Ni muda wakuachilia yote yanayodhoofisha .
Jichague,chagua uponyaji

16/12/2025

12/12/2025

Mom to mom ilikuwaje mwili ulipungua au kunenepa sana?

28/10/2025

Strong,soft, unapologetically Mama❤️

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Kiseke B
Mwanza