DR SIMBA

DR SIMBA

Share

We help solve all reproductive challenges for both genders and provide free advice

06/02/2023
06/02/2023

KWA MATATIZO YOTE YA UZAZI KWA (i)AKINA MAMA

TUNA TIBA KWA WANAWAKE WANAOSUMBULIWA NA MATATIZO YAFUATAYO'
📌Mvurugiko wa homoni
📌Hedhi isiyo na mpangilio
📌Uke mkavu
📌Mirija kuziba/kujaa maji
📌Hedhi isiyoisha
📌Uvimbe kwenye kizazi
📌Kutoshika ujauzito/ugumba
📌Kukosa hedhi kipindi kirefu
📌Wale wote waliothiriwa na matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
📌Mimba kuharibika
📌Kupata hedhi yenye mabongemabonge
📌Maumivu wakati wa tendo la ndoa
📌Uke kutoa maji/harufu mbaya
📌P.I.D
📌Kukosa hamu ya tendo la ndoa
📌Uchafu katika mfumo mzima wa uzazi
📌Fangasi za ukeni
📌Masundosundo/Vigwaru
📌U.T.I sugu n.K Hizi sababu ambazo zinafanya usishike Mimba
𝗧𝘂𝗽𝗶𝗴𝗶𝗲 0717782727 𝗮𝘂 𝗴𝘂𝘀𝗮 𝗹𝗶𝗻𝗸 𝗵𝗶𝗶
https://wa.me/message/IOITVFWLOK4JJ1

04/02/2023

SABABU 10 ZA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE

Haya ni Maumivu yanayompata mtu sehemu ya chini ya tumbo na nyonga. Kwa wanawake maumivu haya yanaweza kuwa dalili ya matatizo (maradhi) kwenye:

➡️mfumo wa uzazi,
➡️mfumo wa haja ndogo,
➡️mfumo wa chakula au
➡️mifupa ya nyonga.

✍🏻 Maumivu yanaweza kuwa ya kawaida au makali, ya kudumu ama ya wakati, yaani yanakuja na kupotea kulingana na chanzo cha Maumivu hayo.

✍ Wakati mwingine Maumivu yanaweza kusambaa kwenye mgongo wa chini wa kwenye miguu au mapaja. Lakini wakati mwingine yanaweza kuja tu pale unakuwa unakojoa au kushiriki tendo la ndoa.

SABABU ZAKE

✍ Maumivu haya yanaweza kusababishwa na tatizo moja au zaidi hasa kwa yale humsumbua mtu kwa muda mrefu. Matatizo haya huwa k**a ifuatavyo;

1️⃣Matatizo kwenye mfumo wa uzazi
2️⃣Vivimbe kwenye kuta za tumbo la uzazi
3️⃣Hali ya tishu zinazoota ndani ya ukuta wa uzazi (endometriosis) au kuota nje ya ukuta wa mji wa uzazi.
4️⃣Maumivu wakati wa hedhi ambayo hutokana na vivimbe katika kuta za tumbo la uzazi
5️⃣Mimba kutunga nje kizazi (ectopic pregnancy)
6️⃣Maumivu yanayotokea upande mmoja chini ya kitovu katikati ya mzunguko wa hedhi yaani siku ya 14
7️⃣Saratani kwenye mifuko ya mayi
8️⃣Maambukizi kwenye mfumo wa uzazi ambayo hutokana na bakteria wanaosababisha kisonono, na klamidia.
✍🏻Watu wengi wamekuwa wakipatwa na magonjwa haya pale wanapojaribu kupata ujauzito bila mafanikio (ugumba) au wanaposumbuliwa kwa muda mrefu na Maumivu ya kiuno na nyonga.

9️⃣Vivimbe kwenye kuta za kizazi (uterine fibroids) ambavyo hutokana na mvurugiko wa homoni ama kurithi kwa vinasaba.
🔟Maumivu kwenye via vya uzazi ambayo husababisha kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu ama kushindwa kukaa kwa muda mrefu.

SABABU ZA MAUMIVU YA MGONGO

➡️Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo: Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo k**a vile maambukizi ya saratani ya mifupa huweza kuleta maumivu makali ya mgongo.

➡️Kuvunjika kwa pingili za uti wa mgongo

03/02/2023

*TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TIBA YAKE*

FIBROID NI NINI?

Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Kuna aina kuuzifuatazo za fibroids:

1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)

Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids

1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi 4.unene 5.kuingia hedhi mapema

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.

Dalili za fibroids

1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpango
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi
Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.

1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu

Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:

1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yan ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.

TIBA YAKE

Tunazo dawa nzuri za lishe madhara kabisa, k**a una tatizo hili wasiliana nasi.

01/01/2023

𝗦𝘂𝗿𝘂𝗵𝗶𝘀𝗵𝗼 𝗹𝗮 𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗺𝗼𝘁𝗼 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝗸𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝘂𝗸𝗮𝘄𝗲 𝗻𝗮 𝗳𝘂𝗿𝗮𝗵𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘁𝗲𝗻𝗮.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

MWANZA MISUNGWI
Mwanza