BINA TV

BINA TV

Share

BINA TV Is a media for bring up break news around the world including Tanzania, Kindly Join with us for more updates. Stay tune.

Its in a none political and religious ethics, is all about news around the world

14/06/2026

Msanii wa Bongo Fleva kijana mdogo ameachia wimbo wakumpongeza Mama na sema kwakweli haka kangoma kakali sana

14/06/2026

Baada ya kuulizwa swali kugusu mama anjela alishindwa kujizuia na kudondoka chini baada ya kukumbuka yale anayofanyiwa na mzazi mwenzie

14/06/2026

mtengeneza maudhui ya mitandaoni amefungua kuwa yeye ni mswahili na hahitaji kundi la watu ili kuja kumkabili na kusema kuwa yeye pia anamuweza

14/06/2026

kuikuwa na kurushiana maneno kati ya na wakimgombania leo mama anjela alitoaka mbagala mpaka kariakoo kumfata fay momo na yeye inasemekana kawakimbi

14/06/2026

kuikuwa na kurushiana maneno kati ya na wakimgombania leo mama anjela alitoaka mbagala mpaka kariakoo kumfata fay momo na yeye inasemekana kawakimbia

14/06/2026

simba sc wamefanikiwa kuonesha ukubwa wao mbele ya pamba jiji kwa kuibuka na ushindi wa 2:1

14/06/2026

Miaka hamsini ya nyuma huwezi kuvaa viatu k**a hivi
------------------------------------------ Sponsored by
< Dji osmo pocket 2
< Dji osmo pocket 3
< DJI osmo pocket 4

Na aina mbali mbali za simu kwa bei nafuu kabisa lakini pia wale watumiajia wa simu hawajawaacha nyuma simu zipo kibao kwa Bei nafuu kabisa 🔥🔥

Location ni ..Citymall Opp maisha supermarket na Samora Opp Nhchouse

Kwa mawasiliano wapigie
📲0774169390
📲0656242156

BEI NI K**A BURE

14/06/2026

pamba jiji hawataki kuonyesha unyonge kabisa mbele ya simba
dakika ishirini tu zimetosha kusawazisha

14/06/2026

Kundi la muziki wa Hip Hop nchini WABETI limetambulisha rasmi wimbo wao mpya unaoitwa “Kausha”, wimbo uliowashirikisha nguli wa Hip Hop Tanzania Juma Nature, P Mawenge, pamoja na Skwiza.

Wimbo huo kwa sasa unapatikana kwenye majukwaa yote ya kidijitali ya kusikiliza muziki, ukiwa umebeba ujumbe mzito unaogusa maisha ya kila siku. Wakizungumza na waandishi wa habari, WABETI wamewataka mashabiki na wadau wa muziki kuusikiliza kwa makini ili kupata maudhui na ujumbe walioukusudia.

Kwa upande wake, Juma Nature amelipongeza kundi hilo kwa nidhamu, kujituma na uelewa wao mkubwa wa muziki wa Hip Hop. Amesema sifa hizo ndizo zilizomshawishi kukubali kushiriki kwenye wimbo huo, akieleza kuwa anaamini WABETI wana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki.

14/06/2026

Ni msanii gani ulukuwa unaelewa zaida ngoma zake kati ya hawa

Want your business to be the top-listed Media Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Bugarika
Mwanza
NONE