Didakos Helper Trove Plus
DIDAKOS HELPER TROVE PLUS (DHT PLUS)
This is mine and yours. The New Vision in the world 🌍
Get All Information You Need. This Is Your Media.
FOUNDER, OWNER and CEO is Didakos Pluseven
31/05/2026
https://youtu.be/RDkjrQ24_HI
Watch Now 👆 New Song🔥
Didakos Pluseven Ft Dissah Plusson - Nitalala (Lyric Video) The song “Nitalala” by Didakos Pluseven and Dissah Plusson expresse...
26/05/2026
https://youtu.be/f6wdk8O2H9Q
OUT NOW On All Platforms👆Watch On YouTube Now.
Didakos Pluseven Ft Dissah Plusson - Nitalala (Official Music Audio) “NITALALA” ni wimbo wa wasanii wawili Didakos Pluseven & Dissah Plusson wimbo huu unaelezea kuhusu mapenzi tuliuandika kwa namna ya kusisitiza kutokuwa na us...
24/05/2026
Asema 👉 Moja kati ya vitu ambavyo hunipa amani zaidi ni kuona namna muziki wa bongo (Tanzania) unavyozidi kupata watoto wanao kuja kuwa nguzo katika muziki wetu na kuufanya uzidi kusonga mbele, heshima zangu zote ziende kwa Artists wote walio tutangulia lakini pia nguvu yao ni kubwa sana katika swala la kuukuza muziki wetu.
More Respect: na wote ambao sijawataja.
Mnaiwakilisha nchi vizuri na kwa ubora may God bless you, Tanzania yetu ni nchi iliyo barikiwa vipaji tuzidi kujivunia pia kwa kuwa na producers wakali na wengine wote ambao sijawataja.
17/05/2026
https://youtu.be/3Jpu5hCFN8E
Kesho 18/5/2026 Asubuhi Saa Moja Kamili Mapema Jambo Hilo.
Didakos Pluseven Ft Dissah Plusson - Nitalala (Lyric Video) “Nitalala” ni wimbo wa wanamuziki wawili Didakos Pluseven na Dissah Plusson wimbo unaelezea hisia za mapenzi ya kweli, furaha ya kuwa na mtu unayempenda, na ...
New Release feat. distributed by
New Song from ft COMING SOON On All Platforms.
"k**a una rafiki ambaye hajawahi kukukosoa tangu mlipo anza urafiki mpaka sasa, yani utende maovu kwake ni sawa, utende mazuri kwake ni sawa yani kiufupi hana ushauri wowote kwako."
"�Ndugu yangu, jirani yangu �anza kutafta rafiki mpaka hapo hauna rafiki."
Watu wengi wanaoshindwa si kwa sababu hawana uwezo…
Bali kwa sababu wanaogopa kuanza.
Hofu huwafanya wakae sehemu moja kwa miaka mingi, wakisubiri
“wakati sahihi” ambao hauji kamwe.
Ukweli ni kwamba:
👉 Hakuna siku utajisikia kuwa tayari.
Watu wanaofanikiwa
Ni wale wanaochukua hatua hata wakiwa na hofu.
👉 Wewe unasubiri nini mpaka leo?
"Your MEDIA is Everywhere"
Follow 👉 Risk ni sehemu ya mafanikio.
Click here to claim your Sponsored Listing.