Osward Filemon
Jinsi ya kuondokana na changamoto ya bawasiri kwa njia asilia bila upasuaji
JINSI YA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA BAWASIRI KWA NJIA ASILIA BILA UPASUAJI
Darasa
02/01/2023
Ndio kitunguu maji kinaweza ondoa bawasiri changaa
02/01/2023
Wajua kuwa mafuta ya mnyonyo yanaweza ondoa bawasiri ?
02/01/2023
Usikoboe mahindi ,kula dona ,yale K**a yalivyo
02/01/2023
Ngano haikobolewi ,kula nafaka nzima K**a ilivyo utanishukuru Sana
02/01/2023
Ugari wa sembe sio mzuri kwa bawasiri
02/01/2023
Kitunguu saumu ukikitwanga ukapaka bawasiri inaleta ahueni
02/01/2023
Vyakula ambavyo vimechomwa katika mafuta kwa muda mrefu huchochea bawasiri
Ushauri wa bure huu. Usipuuzie
02/01/2023
Chakula kinachotokana na ngano iliyo kobolewa sio kizuri kwani huchochea bawasiri
Hivyo epuka ngano iliyo kobolewa
26/12/2022
Namshukuru MUNGU Sana
K**a na wewe unamshukuru kwa Jambo flani andika neno NAMSHUKURU MUNGU
07/11/2022
Ukila matunda asubuhi unapata Virutubisho vyote muhimu ,kata katika vipande vidogo vidogo na furahia asubuhi badala ya kula mikate na maandazi au chapati
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Mwanza