Kasu Microfinance

Kasu Microfinance

Share

Tunatoa Mikopo Kwa Watu Mbali Mbali

27/08/2026
Photos from Kasu Microfinance's post 03/08/2026

🌾 Mkulima, tabasamu lako ndilo mafanikio yetu! 🌱

Kuelekea Sikukuu ya Nane Nane, KASU Microfinance imekuandalia Mkopo wa Wakulima ili usikose mtaji wa kuendeleza shughuli zako za kilimo.

🌽 Tunakusaidia kupata mtaji wa:
βœ… Mbegu
βœ… Mbolea
βœ… Umwagiliaji
βœ… Kupanua shamba
βœ… Maandalizi ya msimu mpya

Usisubiri ndoto zako zikome kwa kukosa mtaji. Chukua hatua leo, mavuno makubwa yaanze na KASU Microfinance.

πŸ“ž 0714 727 083
πŸ“² 0754 256 550

KASU Microfinance – Tunakuza Kilimo, Tunajenga Maisha. πŸŒΏπŸ’š

31/07/2026

Dakika 10 zinaweza kubadilisha siku yako! β±οΈπŸ’Έ

Usikubali biashara isimame au dharura ikuzuie. KASU Microfinance tunakupa Mkopo wa Dharura ndani ya dakika 10 tu!

πŸ’¬ K**a ungepewa mkopo leo, ungetumia kufanya nini? Tuambie kwenye comments. πŸ‘‡

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
0714 727 083
0754 256 550

KASU Microfinance – Haraka, Rahisi, na Kuaminika. πŸ’Όβœ¨

18/07/2026

πŸ’° Unahitaji mtaji wa kukuza biashara? Kulipa ada? Kukamilisha mradi au kutatua changamoto za kifedha?

KASU MICROFINANCE tumekuletea suluhisho kupitia huduma zetu za mikopo zenye masharti nafuu na utoaji wa haraka.

βœ… Mkopo wa Wafanyabiashara
βœ… Mkopo wa Wafanyakazi
βœ… Mkopo wa Vikundi
βœ… Mkopo wa Biashara Ndogo na za Kati
βœ… Mkopo wa Dharura

Huduma ya haraka, salama na ya kuaminika.

πŸ“ž Piga simu au WhatsApp: 0714 727 083

KASU MICROFINANCE
Pamoja Tufanikiwe.

18/07/2026

Kwa huduma ya haraka na mawasiliano yenye ufanisi, tunaomba wateja wetu wasitumie ujumbe kupitia DM/Inbox.

Tafadhali tupigie simu au tutumie WhatsApp ili tukuhudumie kwa haraka.

πŸ“ž 0714 727 083

Asante kwa ushirikiano wako. Tunathamini muda wako na tupo tayari kukuhudumia wakati wowote.

KASU MICROFINANCE
Huduma ya haraka, ya uhakika.

11/07/2026

@ kasu microfinance

19/06/2026

Kwa Nini uuze Gari yako wakati inaweza kukusaidia kutatua Darura yako!?πŸ’°

Usiache biashara au mipango yako isimame kwa sababu ya ukosefu wa fedha. Tumia gari lako k**a dhamana, pata mkopo wa haraka, na endelea kulitumia k**a kawaida. πŸ”‘βœ¨

βœ… Pata mtaji wa kukuza biashara
βœ… Mchakato rahisi na wa haraka
βœ… Endelea kumiliki na kutumia gari lako
πŸ“ž 0714727083

MkopoRahisi TanzaniaBusiness KasuLoans πŸš€πŸ’Ό

13/06/2026

08/06/2026

πŸ—οΈ MRADI UMEKWAMA KWA KUKOSA MTAJI?

Usikubali kuchelewa kukamilisha mradi, kupata hasara au kupoteza fursa za zabuni nyingine.

KASU MICROFINANCE tunakuelewa. Ndiyo maana tunatoa Mkopo wa Wakandarasi hadi TZS Milioni 50 kukusaidia kuendelea na kazi bila kusubiri malipo ya mradi kutoka kwa mwajiri.

βœ… Endelea na ujenzi wa barabara na miradi mingine kwa wakati
βœ… Lipa wafanyakazi bila usumbufu
βœ… Nunua vifaa na malighafi muhimu
βœ… Epuka kusimama kwa kazi na gharama zisizotarajiwa
βœ… Mchakato wa haraka na huduma ya kitaalamu

Mkataba upo, mtaji umekwama?
Sisi tunakupa suluhisho.

πŸ“ž 0714 727 083

KASU MICROFINANCE
Tunabadilisha changamoto za mtaji kuwa mafanikio ya mradi wako.

Want your business to be the top-listed Finance Company in Mtwara?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Mtwara