Mbezi Cement Distributor

Mbezi Cement Distributor

Share

Quality Cement | Best Prices | Fast Delivery
�NSSF house—Moshi, Kilimanjaro.
� Order 0685 793 521

08/08/2026

Heri ya sikukuu ya wakulima 8/8/2026, Tunaheshimu na kuthamini sana mchango wenu katika kulijenga taifa letu. Happy farmers day!

07/08/2026

Ijumaa Kareem. Mwenyezi Mungu azikubali ibada zetu na atujalie rehema Zake. 🤲

05/08/2026

Usifanye maamuzi ya kubahatisha kwenye ununuzi wa cement.

Chagua msambazaji mwenye huduma ya uhakika, upatikanaji wa Cement iliyokua bora na usafirishaji wa kuaminika mahali popote.

Piga simu +255 685 793 521 weka oda yako.

03/08/2026

Ujenzi bora unaanza kwa kuchagua cement sahihi.

Mbezi Cement distributor tunakuletea aina mbalimbali za cement zinazokidhi mahitaji ya:

Makazi
Biashara
Miradi ya ukubwa wote

Tunahakikisha upatikanaji wa Cement bora na huduma ya kuaminika ili mradi wako usisimame.

Agiza leo.

📞 +255 685 793 521

31/07/2026

🚨TANGAZO LA AJIRA | TUNAAJIRI LOGISTICS MANAGER

Je, wewe ni mtaalamu wa masuala ya Ununuzi na Usafirishaji (Procurement & Logistics) mwenye uwezo wa kusimamia na kuboresha shughuli za ugavi?

Mbezi Cement Distributor inatafuta Meneja wa Usafirishaji na Ugavi mwenye uzoefu na ujuzi wa kuongoza shughuli za logistiki za kampuni.

Nafasi: Logistics Manager
Sifa: Shahada ya Ununuzi na Usafirishaji
Uzoefu: Miaka 2 au zaidi
Mahali pa kazi: Moshi, Kilimanjaro

Tuma maombi yako leo:
📞 +255 685 793 521
📧 [email protected]

31/07/2026

🚨TANGAZO LA AJIRA! | NAFASI ZA KAZI KWA MADEREVA 25

Mbezi Cement Distributor inatafuta Madereva wa magari ya Mizigo wenye uwezo, uwajibikaji na uzoefu wa kujiunga na timu yetu inayokua.

K**a una sifa zinazohitajika na una dhamira ya kuhakikisha usafirishaji salama na wenye ufanisi, tunakukaribisha kutuma maombi yako.

Nafasi: Dereva Gari la Mizigo
Uzoefu: Kuanzia mwaka 1
Mahali pa kazi: Moshi, Kilimanjaro

Fursa ni yako

Tuma maombi yako sasa:
📞 +255 685 793 521
📧 [email protected]

31/07/2026

Hakikisha stock yako haiishi.

Usiruhusu mradi wako usimame kwa sababu ya upungufu wa cement. MBEZI Cement Distributor inakuletea huduma ya uhakika ya usambazaji wa cement kwa wakati, ili biashara na miradi yako iendelee bila usumbufu.

Tunatoa aina mbalimbali za cement kwa bei shindani, huduma ya kuaminika na usafirishaji wa uhakika.

Wasiliana nasi leo kuweka oda yako na uhakikishe unapata cement unayoihitaji kwa wakati.

Call | SMS | WhatsApp: +255 685 793 521

29/07/2026

Je, umechagua cement sahihi kwa mradi wako?

Tunakuletea cement imara yenye ubora unaoaminika kwa nyumba, biashara na miradi ya kila aina.

Wasiliana nasi +255 685 793 521 na agiza leo kwa bei rafiki sokoni.

27/07/2026

Cement ipo tayari kwa oda yako.

Tunahudumia miradi ya ujenzi, wauzaji wa rejareja na wanunuzi wa jumla kwa huduma ya haraka na ya kuaminika.

Delivery kwa wakati.
Cement bora.
Bei rafiki.

📞 Wasiliana nasi leo:
+255 685 793 521

24/07/2026

Jumaa Kareem. Tunawatakia siku yenye amani, baraka na mafanikio. Mwenyezi Mungu azibariki juhudi zetu na atujaalie riziki yenye kheri.

Want your business to be the top-listed Business in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

NSSF Building Moshi, Kilimanjaro—Tanzania
Moshi